SIPENDI SIASA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 791
- 1,199
Kama hapo kwenye corruption, hali ni mbaya sana. Nimetoka kugombana na TCRA siku chache zilizopita kisa ulaji wa rushwa kwa watumishi wao..Environmental factors, colonialism, urbanization, bad governance, corruption..
Mkuu majibu yote yapo ktk hili neno ulilolitumia "mchakato" we see things differently tuishie hapo.You have gone too far...
Maendeleo ni mchakato wa mahitaji ya watu husika , mazingira na changamoto zao....
Hatuwezi kufanana na superior raceUkisikia mbuzi kagoma kwenda, huyu kweli kagoma🤔🤔🤔😂🤣
Andrew Tate wa kitunda hiyo kama posta unayoona wenzetu toka 60's sisi hata sewage systems hatuwezi kuplan mvua ikinyesha CBE mafurikoWewe unakaa kwenye mdule sasa hivi? Wewe ukipita dar unaona nyumba za udongo? Embu tumia akili yako kutengeneza hitimisho lako mwenyewe badala ya kufuata mkumbo. Sababu huko ndio kulaaniwa kwenyewe.
kwaiyo wew kiongozi haujui kusoma maandishi wala picha nazo hauzielewi?Be spesific! Yaani tumekwama wapi kwenye nini???
SawaMaendeleo yanaendana na MAZINGIRA ,HALI YA HEWA na tamaduni husika
Ulaya ipi yenye maghorofa marefu Ivo...ni swali tu..🤔Clearly we are cursed View attachment 3193496
Hamna tulipo feli wotetunakaa chini ya milimaHizi ni taswira ya vijiji vya Afrika, Asia, Uarabuni na Ulaya. Waafrika tunakwama wapi?
Je bado tunasumbuliwa na ukoloni au tumerogwa au kunani hasa?View attachment 3193469View attachment 3193470View attachment 3193471View attachment 3193472
Mkuu kuna watu wapo humu kimkakati ni pamoja na huyo njiwaUsitetee ujinga waafrica pamoja na viongozi wetu hawana mipango yeyote ya maendeleo zaidi ya ubadhirifu,rushwa,anasa na starehe, kuna sababu gani za kutoa mil 5 kwa goli ilihali kuna shule hazina vyoo wala ofisi za walimu? Vituo vya afya havina hata utrasound kifaa cha kawaida kabisa, Ujinga tuu.
EEhkwaiyo wew kiongozi haujui kusoma maandishi wala picha nazo hauzielewi?
Paris,London etcUlaya ipi yenye maghorofa marefu Ivo...ni swali tu..🤔
Huo sio utamaduni huo ni umasikini na ufinyu wa maarifa. Huwezi kaa nyumba inafanana na makazi ya mbuzi alafu unasema ni utamaduni.seriously,nakerwa mno na hizi tabia za afrika kukataa asili/utamaduni kuubadilisha kabisa wakisingizia neno maendeleo.
hatuna ulazima wa kufanana na wenzetu muhimu ni usalama wa makazi tu.
sio lazma kufanana mkuu ila ni vizuri kuwa njemakwani lazima tufanane?
Mbona kule kwetu kijijin huwez kukuta hizo nyumbaHizi ni taswira ya vijiji vya Afrika, Asia, Uarabuni na Ulaya. Waafrika tunakwama wapi?
Je bado tunasumbuliwa na ukoloni au tumerogwa au kunani hasa?View attachment 3193469View attachment 3193470View attachment 3193471View attachment 3193472
ndio, tuwekee picha ya kijijini kwenuWewe unaishi kwenye picha namba moja hapo??