Hizi ni taswira ya vijiji vya Afrika, Asia, Uarabuni na Ulaya. Waafrika tunakwama wapi? Je bado tunasumbuliwa na ukoloni au tumerogwa?

Hizi ni taswira ya vijiji vya Afrika, Asia, Uarabuni na Ulaya. Waafrika tunakwama wapi? Je bado tunasumbuliwa na ukoloni au tumerogwa?

Wewe unakaa kwenye mdule sasa hivi? Wewe ukipita dar unaona nyumba za udongo? Embu tumia akili yako kutengeneza hitimisho lako mwenyewe badala ya kufuata mkumbo. Sababu huko ndio kulaaniwa kwenyewe.
Andrew Tate wa kitunda hiyo kama posta unayoona wenzetu toka 60's sisi hata sewage systems hatuwezi kuplan mvua ikinyesha CBE mafuriko
 
Kwani hizo nyumba Zina shida Gani...maana ndo usanifu wa kiutamaduni Africa....tumia factors nyingine...kulinganisha vijiji vya Kiafrika na mabara mengine.
 
Usitetee ujinga waafrica pamoja na viongozi wetu hawana mipango yeyote ya maendeleo zaidi ya ubadhirifu,rushwa,anasa na starehe, kuna sababu gani za kutoa mil 5 kwa goli ilihali kuna shule hazina vyoo wala ofisi za walimu? Vituo vya afya havina hata utrasound kifaa cha kawaida kabisa, Ujinga tuu.
Mkuu kuna watu wapo humu kimkakati ni pamoja na huyo njiwa
 
seriously,nakerwa mno na hizi tabia za afrika kukataa asili/utamaduni kuubadilisha kabisa wakisingizia neno maendeleo.

hatuna ulazima wa kufanana na wenzetu muhimu ni usalama wa makazi tu.
Huo sio utamaduni huo ni umasikini na ufinyu wa maarifa. Huwezi kaa nyumba inafanana na makazi ya mbuzi alafu unasema ni utamaduni.
 
Poor gorvement support, lack of capital ,poor infrastucture, lack of education,.

🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Ila jograph ya form two ilikuwa raha kweli.
 
Back
Top Bottom