Hizi njaa mbaya

Ila maisha haya bana.

Wakati wee unalalamika.


Kuna Mwanamke Leo Kaniletea Chapati sijui kazipikaje jamaaan yaan zima nyama ,mayai, njegere na viungoungo na nichapati jamaan.

Nimezinywea na Chai safi nzito ya Maziwa !!.


Kisha baadae akaniuliza, "Et Baba , umezipenda, na kesho nikuleteee G?".




Uwiiiiiiiiii


WAKAT MNADATE A HUNGRY WOMAN.... WENZIO TUNABEMBELEZWA NA INDEPENDENT WOMAN ILI TUWE NAO KWA MAPENZI[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ulimuuliza ili iweje
 
Mkuu kama huyo mwanamke jina lake linaanziwa na M basi jua na mimi kaniletea chapati kama hizo.

Mimi kaniletea tatu sasa sijui wewe kakupa ngapi
 
Mkuu kama huyo mwanamke jina lake linaanziwa na M basi jua na mimi kaniletea chapati kama hizo.

Mimi kaniletea tatu sasa sijui wewe kakupa ngapi
Ona huyu mwingine, mjinga kweli..

Nilimtokea kitambo ,akajifanya kuniletea habari nyingi..nikamtema.


Leo hata bila salamu anaanza meseji ya mzinga [emoji23]
 
Unauliza mwaswali ya kitoto ndo mana, mambo yoote hujayaona uje kuuliza umekunywa chai...[emoji849]

Hana hata shida na hela yako kaitumia hiyo kuomba hela ili kukuweka mbali..
 
Sijui wanachowaza.

Hamna stori ila mtu anapiga simu umnunulie umeme usiku wa saa sita
Hatari sana Mkuu... Mwanamke mjanja akitaka kula hela yetu anakula vizuri tu lkn haya no Mawasiliano ... Umepata na shida, et ndo unikumbuke.

Huuu ujinga saizi nmeuacha.
 
Mwandiko Mwendo Kasi Kwa Alivyoandika Huyo Ni Muuzaji Kabisa.
Alafu kwakua anaona nilimkuta mahali 'Fulani'.

Basi akaona mwanzo anikazie [emoji23].


Leo analeta njaaa !!.

Nimemjibu sawasawa... Nakuambia matusi aloniporomoshea .


Maajabu mida ya kumi ameanza.... umeshindaje G.... Tusameheane ...na ma blah blaaa mengi
 
Kwahiy wewe hujatuma hela umekuja kulalamika huku?

Afu haya mambo kila siku tunatilia mkazo katika Vikao wewe imekuwaje tena unaturudisha nyuma?

Umekosa swagga? Zingine kabisa?

Huhudhurii vikao unadharau sana faini yako ni utume hiyo hela

Mwenyekiti njoo huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…