Ferruccio Lamborghini
JF-Expert Member
- Apr 15, 2020
- 1,667
- 2,595
KmmmkJamaa walimdharau sana wakat ana hustle ilifika kipind kampuni ambayo yeye aliyoianzisha walimfukuza (can you imagine?), apo alikuwa anawajibu kwa mafanikio "alimua ku-stay hungry na foolish kwa muda wote wakati jamaa zake wakijiona wajanja end of the game wamejikuta wao ndo mafal* na yeye katoboa pakubwa.
SawaAnajua mwenyewe...