halafu wala sserikali haina habari nazo. unajua ni kwa nini? hizi nyimbo hazigusi maslahi ya tabaka tawala. sasa ngoja atoe sijui roma au ney wa mitego utawona hao basata.Yaani ukiyasikiliza maneno ,aafu kuna kamtoto kadogo kanakuuliza maana yake nini ?
Ndo umemaliza au ndo itaendelea....Yaani ukiyasikiliza maneno ,aafu kuna kamtoto kadogo kanakuuliza maana yake nini ?