Hizi nyimbo za injili Zina nguvu sana huu wimbo wa Bony Mwaitege Soma nusu unitoe chozi

Hizi nyimbo za injili Zina nguvu sana huu wimbo wa Bony Mwaitege Soma nusu unitoe chozi

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
4,869
Reaction score
13,137
Sio mtu wa Imani sana ila nikiwa low napenda kusikiliza gospel songs Kuna namna Zina nilift juu napata afueni ya magumu nayopitia kihisia.

Kuna huu wimbo wa Bony Mwaitege-Soma ni wa muda ila nilikuwa nauchukulia poa kumbe bonge la inspirational song nimepata wasaa kusikiliza kwa makini umenigusa umenifanya nikumbuke wakati nasoma jinsi baba na mama walivyokuwa wanajitoa ili nisome.

Safi sana Bony Mwaitege kwa kazi nzuri.
 
Back
Top Bottom