HIZI NYIMBO(za maombolezo) ZITAISHI MILELE

Kendrick Rama

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2019
Posts
409
Reaction score
456
Hawa wasanii wa trending lazima wajue hzo nyimbo wanazotoa sasa hivi kutokana na maudhui yake ni kwa siku 21 tuh za maombolezo,

Inabidi wajifunze kwa wakongwe sio linapotokea tukio tu unawahi studio kurecord, unaweza ukajipa muda ukaandaa ngoma ikaishi milele, sio wanatulisha bigG daily

Hapa chini ni ngoma za muda wote za maombolezo na hta ukizisikia kwa bahati mbaya lazima ujue kuna mtu amesha r.I.p

1. Jeby _Swahiba
2. King Gk _Tutakukumbuka
3. Matonya _Dunia
4. Madee _Kazi yake Mola
5. Remmy Ongala _Kifo
6. Kanumba _Nitayainua macho yangu
7. Bushoke _Dunia njia
8. Daz nunda _Kamanda
ni mtazamo tuh 🙏🙏🙏
 
Uzuri tu Ni kuwa huu Ni mtazamo wako
Alafu kingine Ni kuwa muda hausimami Mambo yanabadilika

2000 sio 2020
 
Mtoa mada una thinking ndogo sana sijapata kuona.

Unafanisha vipi nyimbo ambazo wasanii wanamuimbia mtu specific baada ya kufa na nyimbo ambazo mtu anaimba kuhusu maombolezo in General.

Hizo nyimbo ulizoandika ni for Business wasanii wameimba kuhusu msiba in general wajamuimbia yeyeto...nyimbo zinazoimbwa kama baada ya magufuri ni za kifo cha Magu tu ni kawaida hata kipindi cha mkapa aliimbiwa na akifa raisi mwengine wataimba sasa nashangaa akili yako ina udogo kihasi gani.

Nyimbo ya Magufuri lala salama unafananisha na Swahiba...Dhamira za nyimbo tofauti kabisa una uwezo mdogo wa kuchambua mambo jamaa.
 
Ninaunga mkono 🤝
 
usilete siasa kwenye mziki wewe, kama hujui kaa kimya bt unajifanya mjuaji kumbe bonge la kilaza.
Hapa naongelea ubora wa kazi na sio kukurupuka na mihemko,
Unaujua kama wimbo wa madee kazi yake mola ilitolewa kwa sababu ya kuomboleza msiba wa ndugu yake na Abdul bonge,
nakupa mifano mingine ya hzo nyimbo zinaishi hadi Leo
Wiz Khalifa ft Charlie puth _see you again ni special kwa Paul worker.
Gk _tutakkmbuka ni special kwa mwanae aliyefariki 2001
 
Je alizungumziwa Abdul Bonge humo

Je alizungumziwa uyo Paulo humo

Je alizungumziwa humo uyo Mwanawe

Huna ubongo una makamasi
Hata hiyo "See you again" ya Wiz khalifa alimzungumzia Paul walker.Angalia kipande hiki cha lyrics ya hiyo ngoma.

"All the planes we flew, good things we been through
That I'd be standing right here talking to you
'Bout another path, I know we loved to hit the road and laugh
But something told me that it wouldn't last
Had to switch up, look at things different, see the bigger picture
Those were the days, hard work forever pays
Now I see you in a better place (see you in a better place)"

NB😛unguza ubishi wa kijinga kama hujui kitu.
 
Chawa huyo wa wcb
 
Back
Top Bottom