HIZI NYIMBO(za maombolezo) ZITAISHI MILELE

Hata hiyo "See you again" ya Wiz khalifa alimzungumzia Paul walker.Angalia kipande hiki cha lyrics ya hiyo ngoma.

"All the planes we flew, good things we been through
That I'd be standing right here talking to you
'Bout another path, I know we loved to hit the road and laugh
But something told me that it wouldn't last
Had to switch up, look at things different, see the bigger picture
Those were the days, hard work forever pays
Now I see you in a better place (see you in a better place)"

NB😛unguza ubishi wa kijinga kama hujui kitu.
Suala kila baada ya sentensi alitaja jina Paul Walker...akitaja jina haiwezi tumika kwenye msiba wa Rajabu mbagala huo ni mwimbo wa General once haja hastag jina...nachozungumzia nyimbo alizoimbiwa Magu ni Magu tu hauwezi kwenye msiba wa Rajabu Mahala ukaweka wimbo unaimba umejenga balabala u see what am deliver...Kama ujaelewa wewe ni takataka
 
Demarco-Fallen Soldiers
T.O.K-Foot Print

Ni za moto kwa nje
 
Wcb na washamba wengine wajitathimin sana
Kwa huu ushamba ...Manyimbo mabaya Kama Nn
 
Je alizungumziwa Abdul Bonge humo

Je alizungumziwa uyo Paulo humo

Je alizungumziwa humo uyo Mwanawe

Huna ubongo una makamasi
unaleta ubishi wa kijinga,
kwenye kazi yake mola ya madee imetajwa familia nzima ya akina tale pamoja na waombolezaji wake, na ile ngoma ilikuw special kwa familia tuh ,

Kwa GK wimbo una story nzima
Paul worker 😅😅😅
huwe unasikiliza nyimbo kabla hujudandia mada
 
Suala kila baada ya sentensi alitaja jina Paul Walker...akitaja jina haiwezi tumika kwenye msiba wa Rajabu mbagala huo ni mwimbo wa General once haja hastag jina...nachozungumzia nyimbo alizoimbiwa Magu ni Magu tu hauwezi kwenye msiba wa Rajabu Mahala ukaweka wimbo unaimba umejenga balabala u see what am deliver...Kama ujaelewa wewe ni takataka
hahah wewe jamaa unamatitizo
kwa hiyo wimbo ukibeba jina la mhusika ndio haufai kwa wengine,
kwa hiyo vaileti ya matonya au Salome ya diamond haifai kumuimbia demu wangu.

Point ni kwamba kazi ikiwa bora hta ukimuimbia Gadafi kwa utunzi mzuri itaishi tuh
 
usilete siasa kwenye mziki wewe, kama hujui kaa kimya bt unajifanya mjuaji kumbe bonge la kilaza.
Hapa naongelea ubora wa kazi na sio kukurupuka na mihemko,
Unaujua kama wimbo wa madee kazi yake mola ilitolewa kwa sababu ya kuomboleza msiba wa ndugu yake na Abdul bonge,
nakupa mifano mingine ya hzo nyimbo zinaishi hadi Leo
Wiz Khalifa ft Charlie puth _see you again ni special kwa Paul worker.
Gk _tutakkmbuka ni special kwa mwanae aliyefariki 2001
Hiyo ya GK alimwimbia jamaa wa Kwanza Unit aliyefariki
 
Mtoa mada una thinking ndogo sana sijapata kuona.

Unafanisha vipi nyimbo ambazo wasanii wanamuimbia mtu specific baada ya kufa na nyimbo ambazo mtu anaimba kuhusu maombolezo in General.

Hizo nyimbo ulizoandika ni for Business wasanii wameimba kuhusu msiba in general wajamuimbia yeyeto...nyimbo zinazoimbwa kama baada ya magufuri ni za kifo cha Magu tu ni kawaida hata kipindi cha mkapa aliimbiwa na akifa raisi mwengine wataimba sasa nashangaa akili yako ina udogo kihasi gani.

Nyimbo ya Magufuri lala salama unafananisha na Swahiba...Dhamira za nyimbo tofauti kabisa una uwezo mdogo wa kuchambua mambo jamaa.
Yah nadhani sisi wote ni wapenda mziki mzuri so tuenjoy mziki mzuri na sio kwa kukashifiana. Nyimbo za kifo zinaishi haswa zile zisizo mtaja mtu moja kwa moja. Mfano Kifo wa Rayvanny ni mzuri ila amemuimbia Magufuli moja kwa moja so ukipigwa kwenye msiba say wa Mengi haitapendeza kivile.

Nyimbo alizotaja mtoa mada nyingi waliimbiwa watu ila ni general sio specific ingawa kuna watu wanatajwa lakini kiaina sana sio moja kwa moja mfano wimbo wa kazi yake mola wa Madee aliimbiwa Abdul Bonge na ule wimbo wa Tutakukumbuka wa GK aliimbiwa jamaa wa Kwanza Unit ila walitajwa kidogo na maudhui ya nyimbo yalikuwa general.

Ushauri kwa wasanii wetu: Ukiimba nyimbo ya kifo jaribu kuifanya iwe general na sio specific kwa mtu fulani. Siku hizi wasanii wanaimba na technology inawabeba sana wanamuziki, watupe vitu bora vinavyoishi

Bonus truck
Sikilizeni wimbo wa Nas f/ Quan - Just a moment
 
Sikutaka nichangie tena hii mada maana wapumbavu wamejaa hata uwaelekeze wanashikilia upumbavu wao.

Hii ndio hoja yangu akiimbiwa magu lazima utaona vitu specific daraja, miundombinu, umoja sasa maudhui haya yanaweza tumika kwa kilamtu.

watu wanaandika kama wanakamasi kichwani
 
Yah nadhani sisi wote ni wapenda mziki mzuri so tuenjoy mziki mzuri na sio kwa kukashifiana. Nyimbo za kifo zinaishi haswa zile zisizo mtaja mtu moja kwa moja. Mfano Kifo wa Rayvanny ni mzuri ila amemuimbia Magufuli moja kwa moja so ukipigwa kwenye msiba say wa Mengi haitapendeza kivile.

Nyimbo alizotaja mtoa mada nyingi waliimbiwa watu ila ni general sio specific ingawa kuna watu wanatajwa lakini kiaina sana sio moja kwa moja mfano wimbo wa kazi yake mola wa Madee aliimbiwa Abdul Bonge na ule wimbo wa Tutakukumbuka wa GK aliimbiwa jamaa wa Kwanza Unit ila walitajwa kidogo na maudhui ya nyimbo yalikuwa general.

Ushauri kwa wasanii wetu: Ukiimba nyimbo ya kifo jaribu kuifanya iwe general na sio specific kwa mtu fulani. Siku hizi wasanii wanaimba na technology inawabeba sana wanamuziki, watupe vitu bora vinavyoishi

Bonus truck
Sikilizeni wimbo wa Nas f/ Quan - Just a moment
baada ya quote mbili hapo juu nakujibiwa hovyo hovyo sikurudi hapa. Walo comment humu wengi na mleta mada Ni aina ya watu wasio kubali mawazo na mitazamo mipya. Walilonalo kichwani ndio Hilo Hilo milele yao Yote.
WASIPOELEWA NA HAPA
 
I'll Be missing You by Puff Dady (1997)

aliitoa kwa ajili ya notorious BIG rip
 
Back
Top Bottom