Kendrick Rama
JF-Expert Member
- May 22, 2019
- 409
- 456
Ndio hiyo"Angekuwepo rafiki nisingewaza,
Rafiki kipenzi nilompenda......"
Hivi hiyo ndo swahiba?
Mtazamo wa wengiUzuri tu Ni kuwa huu Ni mtazamo wako
Alafu kingine Ni kuwa muda hausimami Mambo yanabadilika
2000 sio 2020
Swahiba ya jeb r.i.p"Angekuwepo rafiki nisingewaza,
Rafiki kipenzi nilompenda......"
Hivi hiyo ndo swahiba?
na vifo haviishi piaUzuri tu Ni kuwa huu Ni mtazamo wako
Alafu kingine Ni kuwa muda hausimami Mambo yanabadilika
2000 sio 2020
kweli asee ngoja niongezee hpoKamanda eee jaama
Kuna kitu kinaitwa kamanda
Ninaunga mkono π€Mtoa mada una thinking ndogo sana sijapata kuona.
Unafanisha vipi nyimbo ambazo wasanii wanamuimbia mtu specific baada ya kufa na nyimbo ambazo mtu anaimba kuhusu maombolezo in General.
Hizo nyimbo ulizoandika ni for Business wasanii wameimba kuhusu msiba in general wajamuimbia yeyeto...nyimbo zinazoimbwa kama baada ya magufuri ni za kifo cha Magu tu ni kawaida hata kipindi cha mkapa aliimbiwa na akifa raisi mwengine wataimba sasa nashangaa akili yako ina udogo kihasi gani.
Nyimbo ya Magufuri lala salama unafananisha na Swahiba...Dhamira za nyimbo tofauti kabisa una uwezo mdogo wa kuchambua mambo jamaa.
usilete siasa kwenye mziki wewe, kama hujui kaa kimya bt unajifanya mjuaji kumbe bonge la kilaza.Mtoa mada una thinking ndogo sana sijapata kuona.
Unafanisha vipi nyimbo ambazo wasanii wanamuimbia mtu specific baada ya kufa na nyimbo ambazo mtu anaimba kuhusu maombolezo in General.
Hizo nyimbo ulizoandika ni for Business wasanii wameimba kuhusu msiba in general wajamuimbia yeyeto...nyimbo zinazoimbwa kama baada ya magufuri ni za kifo cha Magu tu ni kawaida hata kipindi cha mkapa aliimbiwa na akifa raisi mwengine wataimba sasa nashangaa akili yako ina udogo kihasi gani.
Nyimbo ya Magufuri lala salama unafananisha na Swahiba...Dhamira za nyimbo tofauti kabisa una uwezo mdogo wa kuchambua mambo jamaa.
Je alizungumziwa Abdul Bonge humoUnaujua kama wimbo wa madee kazi yake mola ilitolewa kwa sababu ya kuomboleza msiba wa ndugu yake na Abdul bonge
Je alizungumziwa uyo Paulo humoWiz Khalifa ft Charlie puth _see you again ni special kwa Paul worker.
Je alizungumziwa humo uyo MwanaweGk _tutakkmbuka ni special kwa mwanae aliyefariki 2001
Hata hiyo "See you again" ya Wiz khalifa alimzungumzia Paul walker.Angalia kipande hiki cha lyrics ya hiyo ngoma.Je alizungumziwa Abdul Bonge humo
Je alizungumziwa uyo Paulo humo
Je alizungumziwa humo uyo Mwanawe
Huna ubongo una makamasi
Chawa huyo wa wcbHata hiyo "See you again" ya Wiz khalifa alimzungumzia Paul walker.Angalia kipande hiki cha lyrics ya hiyo ngoma.
"All the planes we flew, good things we been through
That I'd be standing right here talking to you
'Bout another path, I know we loved to hit the road and laugh
But something told me that it wouldn't last
Had to switch up, look at things different, see the bigger picture
Those were the days, hard work forever pays
Now I see you in a better place (see you in a better place)"
NBπunguza ubishi wa kijinga kama hujui kitu.