Hizi picha za Singapore kabla ya kupata uhuru mwaka 1965 zinemenifikirisha sana

Hizi picha za Singapore kabla ya kupata uhuru mwaka 1965 zinemenifikirisha sana

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Jamani

Nimekutana na picha hizi za nchi ya Singapore. Nimeshangaa sana

Hivi Afrika changamoto nini? Mbona hawa jamaa walikuwa sawa kabisa na Tanzania mwaka 1965

SINGA.jpg

SINGA1.jpg

SINGA2.jpg

SINGA3.jpg

SINGA4.jpg

Singapore kwa sasa

photo_2026-04-13_15-29-57.jpg
photo_2026-04-13_15-29-59.jpg
photo_2026-04-13_15-30-02.jpg

​
 
Watakwambia ni mitaa tu baadhi, wabongo wanapenda sana kujustify umaskini wao na kuutukuza wanaona ni sifa wanasiasa kusema wapo kwa ajili ya maskini wakati wenzao wanaweza kuchanga Tzs 10m kwnye kikao cha harusi au kumchangia msanii anayetaka kununuliwa gari ili mradi umma usikie tu na hawapungikiwi na kitu. Washafikia kiburi cha kusema hawakuzaliwa wawe viongozi na wawe maskini! Maskini nyie tu mnaosifia
 
Muislamu kamwe awezi kuleta maendeleo Tanzania.
Kuwaza ama kufikiri kwa mrengo wa kidini, kikabila ama kikanda ni kujifunga katika ombwe la utumwa wa kifikira!

Vyanzo vya 'marktime' yetu viko wazi na vinajulikana, wala havijasababishwa na dini ama kabila ya mtu.

Watawala wote tangia uhuru wanatokana na timu kongwe za 'usimba' na 'uyanga' wa dini kwa kupokezana, unaweza kusema nini hapo kwamba ukristu wa huyu ulileta manufaa kuliko uislamu wa huyu, kivip yaani?

Waza nje ya box mkuu.
 
We jamaa uki quote wanaume, jitahidi usiwe mpumbavu
Huyo uliyo mteja ni mmoja wapo wa raia feki tena mzanzibara ..kamwe mzanzibari wala mzanzibara awawezi kuwa wema kwa watanganyika...sifa nyingine mbovu ni muislamu..
1)MZANZIBAR
2)MZANZIBARA
3)MUISLAMU
4)RAIA FEKI (kama wakina zungu samia, Rostam Aziz nk)..
Tumia akili wacha kutumia kijambio kufikili ...nikama wapumbavu walio kuwa wanasema mwanamke anaweza uongozi ...niliwaambia kuwa👉 KIONGOZI mwanaume mpumbavu ni bora kuliko kiongozi mwanamke asiye mpumbavu ..maana yake ...UPUMBAVU WA MWANAUME UNA AKILI KULIKO AKILI ZA MWANAMKE.
 
Kuwaza ama kufikiri kwa mrengo wa kidini, kikabila ama kikanda ni kujifunga katika ombwe la utumwa wa kifikira!

Vyanzo vya 'marktime' yetu viko wazi na vinajulikana, wala havijasababishwa na dini ama kabila ya mtu.

Watawala wote tangia uhuru wanatokana na timu kongwe za 'usimba' na 'uyanga' wa dini kwa kupokezana, unaweza kusema nini hapo kwamba ukristu wa huyu ulileta manufaa kuliko uislamu wa huyu, kivip yaani?

Waza nje ya box mkuu.

Kwani mkristo gani alileta nini kwnye utawala wake? Wote sisi mang'ombe tu hatuna tofauti bila kujali kabila wala dini, vibandiko visivyo na tija kutoka our colonial masters alisema Munga Tehnani (RIP)
Tumia akili ..kamwe muislamu awezi kuwa na sifa ya Uzalendo..chunguza ninacho sema ...
 
Tumia akili ..kamwe muislamu awezi kuwa na sifa ya Uzalendo..chunguza ninacho sema ...

We umetumia hizo "akili" au umetumia imani tu? Unaweza kuweka evidence kwa heshima ya jamvi hili kwamba umetumia akili? Weka data za uzalendo kupitia hiyo factor kulishawishi jukwaa otherwise futa kauli yako au ubaki tu kama wanamaombi wengine yaishe
 
Wapo waislamu nguli humu jf ..unajua kwa nini awajibugi hovyo hoja zangu ujificha..? Nilisha wahi kuelezea na evidence wakakimbia ...
 
Wapo waislamu nguli humu jf ..unajua kwa nini awajibugi hovyo hoja zangu ujificha..? Nilisha wahi kuelezea na evidence wakakimbia ...

Mtu yoyote mwenye evidence na scientific info hana aibu kuirudia tena na tena na tena popote pale anapotakiwa kujustify, suppose wakati unawajibu mimi sikuwa nimezaliwa? Sifa ya scientific/researched info can be replicated at anytime and gives same results regardless of what, karibu tena kakopi ulipojibu upaste hapa tutakuelewa tu hoja zako za kuprove kwamba wakristo sio mang'ombe tu na ndugu zetu ndio! Kwamba kina makonda ni wazalendo sana kuliko kina jeikei na ukoo wake na rostum, tufunze mkuu, karibu sana
 
Back
Top Bottom