Hizi picha zinathibitisha makabwela wa CCM mtawasindikiza akina Mwigulu na wenzake

Hizi picha zinathibitisha makabwela wa CCM mtawasindikiza akina Mwigulu na wenzake

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
1000006077.jpg

1000006113.jpg
 
Vijana wa kitanzania wamejiridhikia zao kuwa Ng'ombe, wanalipwa 20k ili wasukume ajenda za watawala. Ajenda nyingine ni za kuchafua na kudhalilisha wengine.

Wataendelea kutumika kama Ng'ombe wa kulimia wakati viongozi wao wanaandaa watoto wao kuwa viongozi wa baadae.
 
Jamaa wanakita mizizi waibe vizuri baadae wapate watu wa kuwalinda
 
Sasa huyu Lucas Mwashambwa itakuaje? watoto wake watarithi nini? maana hata kilimo cha kahawa ccm wameshakitelekeza.
Muache huyo kichwa ngumu hataki kusikia anachoambiwa, atavuna anachopanda, ile namba ya simu anayoweka huku mwishowe ataishia kutapeliwa tu na watoto wa mjini.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom