Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa wanakita mizizi waibe vizuri baadae wapate watu wa kuwalinda
Huwezi kukututa mtoto wa Mwenyekiti wa tawi CCM kwa ngazi hizo, jamaa wanaiba huku wakijua kuna ulinzi baadae hakuna namnaWanafanya kila linalowezekana kuibinafsisha siasa na uongozi wa taifa kuwa wakwao na familia zao.
Nilisema humu sio dhambi mtoto kufanya kazi aliyokuwa anafanya Baba ila kwa ngazi hii huwezi kuniambia hakuna mkono wa baba yake hapo.
Vipi kwa watoto wa ambao hawana baba au mama katika safu za uongozi wa nchi na chama? Wataweza kusimama na hawa watoto wa vigogo?
Ukiona viongozi wanapambana kuwasimika watoto wao kwenye siasa ujue wameona ni sehemu ya kupata pesa nyepesi.
Hakuna chawa ana mtoto kwenye hizo level, haya majangili yanakita mizizi vizuri snViongozi wa CCM wamejitengenezea mfumo wao binafsi wa kula na wanawarithisha bizazi vyao.
Umeongea kwa uchungu sana KadaYaani mtoto tangu mdogo anaandaliwa kurithi nafasi ya baba yake!! Halafu akina Lucas mwashambwa wanaamini eti wana chao ndani ya ccm!!
Wakiambiwa ccm ina wenyewe, hata hawaamini!! Kila siku wanaishi kwa matumaini na kujipa moyo!!!
Hii ni tamaduni ya Kiafrika inaitwa umimi inaanzia tangu umri Mdogo .Hata ningekua mimi nafasi ipo mwanangu chappp!
Muhimu kuwahi tu.
Huyu dogo ni mjinga sana nilishawahi kumshauri atafute uhuru wa kiuchumi aachane na uchawa maana huko mbeleni kwa utawala huu wa ccm game inaenda kuwa tight sana kuliko sasa hivi.Muache huyo kichwa ngumu hataki kusikia anachoambiwa, atavuna anachopanda, ile namba ya simu anayoweka huku mwishowe ataishia kutapeliwa tu na watoto wa mjini.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app