Hizi plate namba za 3d zilizotrend sana wanatengenezea vitu gani

Mamujay

Senior Member
Joined
Dec 24, 2022
Posts
149
Reaction score
345
Hizi plate namba za 3d zilizotrend sana wanatengenezea vitu gani
 
IMG-20230303-WA0009.jpg
 
Hizi plate namba za 3d zilizotrend sana wanatengenezea vitu gani
Hizi herufi wanakata material yanaitwa Acriliric kwa kutumia Cnc machine. Ni aina flani ya plastic ngumu zile zinatumika kujengea mabango yanayowaka.
 
Back
Top Bottom