Mamujay Senior Member Joined Dec 24, 2022 Posts 149 Reaction score 345 May 11, 2023 #1 Hizi plate namba za 3d zilizotrend sana wanatengenezea vitu gani
Mamujay Senior Member Joined Dec 24, 2022 Posts 149 Reaction score 345 May 11, 2023 Thread starter #2
Shedii JF-Expert Member Joined Dec 18, 2020 Posts 536 Reaction score 661 May 11, 2023 #3 Si magari au
Kiangazikikavu Senior Member Joined Nov 20, 2018 Posts 117 Reaction score 99 May 11, 2023 #4 Mamujay said: Hizi plate namba za 3d zilizotrend sana wanatengenezea vitu gani Click to expand... Kwanza unatakiwa ujue 3D ni nini, kwenye material yalitumika sio issue.
Mamujay said: Hizi plate namba za 3d zilizotrend sana wanatengenezea vitu gani Click to expand... Kwanza unatakiwa ujue 3D ni nini, kwenye material yalitumika sio issue.
Mamujay Senior Member Joined Dec 24, 2022 Posts 149 Reaction score 345 May 11, 2023 Thread starter #5 Kiangazikikavu said: Kwanza unatakiwa ujue 3D ni nini, kwenye material yalitumika sio issue. Click to expand... Go on
Kiangazikikavu said: Kwanza unatakiwa ujue 3D ni nini, kwenye material yalitumika sio issue. Click to expand... Go on
MWAMUNU JF-Expert Member Joined Dec 17, 2011 Posts 860 Reaction score 519 May 14, 2023 #6 Mamujay said: Hizi plate namba za 3d zilizotrend sana wanatengenezea vitu gani Click to expand... Hizi herufi wanakata material yanaitwa Acriliric kwa kutumia Cnc machine. Ni aina flani ya plastic ngumu zile zinatumika kujengea mabango yanayowaka.
Mamujay said: Hizi plate namba za 3d zilizotrend sana wanatengenezea vitu gani Click to expand... Hizi herufi wanakata material yanaitwa Acriliric kwa kutumia Cnc machine. Ni aina flani ya plastic ngumu zile zinatumika kujengea mabango yanayowaka.
MWAMUNU JF-Expert Member Joined Dec 17, 2011 Posts 860 Reaction score 519 May 14, 2023 #7 Kiangazikikavu said: Kwanza unatakiwa ujue 3D ni nini, kwenye material yalitumika sio issue. Click to expand... 3D ni iyo hali ya izo herufi kutokeza juu. Yaani kuna 2D na 3D.
Kiangazikikavu said: Kwanza unatakiwa ujue 3D ni nini, kwenye material yalitumika sio issue. Click to expand... 3D ni iyo hali ya izo herufi kutokeza juu. Yaani kuna 2D na 3D.