Hizi plate no. ni za taasisi gani? Kikosi cha kupambana na Madawa ya kulevya hutumia namba gani?

Hizi plate no. ni za taasisi gani? Kikosi cha kupambana na Madawa ya kulevya hutumia namba gani?

bloggerboy

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2017
Posts
568
Reaction score
1,217
Wajuzi,Hizi plate no. Ni za taasisi gani? Madawa ya kulevya hutumia namba gani?

Nimejiuliza sana kitambo sijapata majibu

"SJK" na "SMT" ZINA KIBAO CHEUSI NA BENDERA YA TANZANIA
 
Wajuzi,Hizi plate no. Ni za taasisi gani? Madawa ya kulevya hutumia namba gani?

Nimejiuliza sana kitambo sijapata majibu

"SJK" na "SMT" ZINA KIBAO CHEUSI NA BENDERA YA TANZANIA
SJK=Sikiliza Jakaya Kikwete
SMT=Serikali ya Muungano Tanzania

Akili za chibuku hizi, usitilie maanani nilichoandika.
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
All in all sijui ni msukumo gani umesababisha kuandika nilichoandika kwani yote mawili nilivyoyatafsiri literally ni kitu kimoja.
 
Nyingine hazina namba kabisa. Juzi nilikutana na basi la halmashauri ya Temeke likiwa limebeba maofisa wa manispaa hiyo na RPC ndani lkn halikuwa na namba kabsaa. Na magari mengine yana plate namba mbili. Ile ya juu imewekwa na ruberband au vibanio vya karatasi. Hapa sijui wanamdaganya nani?
 
Wajuzi,Hizi plate no. Ni za taasisi gani? Madawa ya kulevya hutumia namba gani?

Nimejiuliza sana kitambo sijapata majibu

"SJK" na "SMT" ZINA KIBAO CHEUSI NA BENDERA YA TANZANIA
Maofisa wa Polisi Tanzania na wa wizara ya mambo ya ndani ndio wanatumia hizo kitu, kama huzielewi utajuwa ni namba za UK au namba za Mozambique.

Ukimuona mtu siyo ofisa wa sehemu hizo anatumia namba hizo basi ndio mambo ya michongo, maana namba hizo hakuna traffic wa kukusimamisha popote hata defender za dolia iwe usiku au safarini hakuna wa kukusumbuwa, hiyo ni plate namba code ya wakurungwa.
 
Hapo hakuna hata moja inayofanana na alichouliza mleta mada. Pia kuna zingine zimeandikwa "UT" kwenye vikao vyeusi na mwandishi mweupe au rangi ya Njano.
Soma hapa mkuu
 
Soma hapa mkuu
Hakuna hata moja hapo kaka
 
Back
Top Bottom