valet de chambre
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 1,044
- 1,112
Wanaogopa wananchi!Nyingine hazina namba kabisa. Juzi nilikutana na basi la halmashauri ya Temeke likiwa limebeba maofisa wa manispaa hiyo na RPC ndani lkn halikuwa na namba kabsaa. Na magari mengine yana plate namba mbili. Ile ya juu imewekwa na ruberband au vibanio vya karatasi. Hapa sijui wanamdaganya nani?