bloggerboy
JF-Expert Member
- Nov 13, 2017
- 568
- 1,217
Wellcome to police state, gari zote zinatakiwa zisajiliwe kwenye mfumo mmoja (natis)regardless taasisi na zote lazima zilipiwe bima!
SJK=Sikiliza Jakaya KikweteWajuzi,Hizi plate no. Ni za taasisi gani? Madawa ya kulevya hutumia namba gani?
Nimejiuliza sana kitambo sijapata majibu
"SJK" na "SMT" ZINA KIBAO CHEUSI NA BENDERA YA TANZANIA
Always try to read 📚 to understand not to ask questionsHujanipa jibu mkubwa consine my question!
Mkuu huoni kuwa amejitahidi sana Kukuandikia Pumba zake? Hebu mpongeze basi hata kwa hilo ili kumtia Moyo kwa Upopoma wake.Hujanipa jibu mkubwa consine my question!
Mkuu huoni kuwa amejitahidi sana Kukuandikia Pumba zake? Hebu mpongeze basi hata kwa hilo ili kumtia Moyo kwa Upopoma wake.
Maofisa wa Polisi Tanzania na wa wizara ya mambo ya ndani ndio wanatumia hizo kitu, kama huzielewi utajuwa ni namba za UK au namba za Mozambique.Wajuzi,Hizi plate no. Ni za taasisi gani? Madawa ya kulevya hutumia namba gani?
Nimejiuliza sana kitambo sijapata majibu
"SJK" na "SMT" ZINA KIBAO CHEUSI NA BENDERA YA TANZANIA
Jibu swali,KUTOKUJIAMINI..kuishi kwa mashaka
.... you can hide in the air and people can't see YOU
Ni kulishe wewe mtoto..teh teh teh mumerara tu uvivu wa vijiwe vya kahawa na story za simba na YangaJibu swali,
Acha kuzunguka
Labda ungeulizia Mademu wazuri na wanaopenda kupita Yombo Buza kwa Mpalange wanapatikana wapi ningeweza Kukujibu upesi kutokana na Udau na Ubobezi wangu Uliotukuka huko.Naomba majibu mkuu
Soma hapa mkuu
Zijue namba za magari ya Tanzania! Pamoja na namba maalum za magari ya viongozi, Serikali na Taasisi za Umma kwa ujumla
Wadau, mi kila siku minekuwa nikijiuliza, ila sijapata jibu. Naomba wenye ufahamu wanielimishe kwenye hili. Hivi hizi herufi kwenye "licence plates" za magari zinamaana gani? STK STJ STH ST A ST DFP SU - (hii nimesikia ni Shirika la Umma, ila sijui kama ni kweli) TP - (magari ya polisi yana...www.jamiiforums.com
UT NI za uhamiaji mkuuHapo hakuna hata moja inayofanana na alichouliza mleta mada. Pia kuna zingine zimeandikwa "UT" kwenye vikao vyeusi na mwandishi mweupe au rangi ya Njano.
Umesoma comments zote?Hapo hakuna hata moja inayofanana na alichouliza mleta mada. Pia kuna zingine zimeandikwa "UT" kwenye vikao vyeusi na mwandishi mweupe au rangi ya Njano.
Hakuna hata moja hapo kakaSoma hapa mkuu