Counsellor Sima
JF-Expert Member
- Jun 28, 2016
- 539
- 575
Kataa kabisa momy bak tu na mimi kipenzNakuambia siwezi kwenda bush mie,,halaf kaja ananitafuta sitaki hata kumuona aisee
Mwanamke unaanzaje kwenda kukata kilaji peke ako??Nipo nakunywa hapa,lakin silewii,,,ina maana nimekuwa kalevi kalikotukuka ama?yaan pombe imezoea damu ama[emoji23]
Nimekunywa ka saint Anna na bia kama 10 yaan hata ndio kwanza,,acha nikalale tu ,,naacha pombe kuanzia leo[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utakaeongea povu hapa nakuelekeza nilipo uje unywe bia 5 nakupatia na demu mmoja mkali sanaa[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]
Muwe na siku njema
Awamu hii unaweza maliza Tbl yote bila kulewa, so nakuomba usishindane na kilev, mana kila saa viongoz wanatoa matamko tata n yasiyoeleweka, so unajikuta everytime unafanya hard thinking kujiuliza hawa viongoz wetu wanawaza kwakutumia kiungo gan cha mwil, huwez lewa madame, give it a restNipo nakunywa hapa,lakin silewii,,,ina maana nimekuwa kalevi kalikotukuka ama?yaan pombe imezoea damu ama[emoji23]
Nimekunywa ka saint Anna na bia kama 10 yaan hata ndio kwanza,,acha nikalale tu ,,naacha pombe kuanzia leo[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utakaeongea povu hapa nakuelekeza nilipo uje unywe bia 5 nakupatia na demu mmoja mkali sanaa[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]
Muwe na siku njema
Be positiveMwanamke unaanzaje kwenda kukata kilaji peke ako??
Genye zikipanda hutakuwa chakula ya bodaboda kweli ma sabrina? ?[emoji2] [emoji2] nawaza tu kwa saut
We unaishi kwani paradise ?Thread zako, pombe, uzinzi, naona kinachofuata hapo, na ukilete hapa usije kimbia....Tubu mfuate Yesu wacha kuteseka kiasi hicho, hyo ni madhabahu ya shetan unayoitukuza, na haijawah acha mtu salama hata siku moja, njoo kwa Yesu utaishi maisha hujawah ishi. Mungu akuongoze.
Bill nishalipa mie,,,njol nibebe twende kwa mama kralaHahaha...... Isije ikawa unaniitia bill wewe . Unawakukubeba lakini wasije wakapita na wewe.
Vizuri kaka,,,mwaaahAwamu hii unaweza maliza Tbl yote bila kulewa, so nakuomba usishindane na kilev, mana kila saa viongoz wanatoa matamko tata n yasiyoeleweka, so unajikuta everytime unafanya hard thinking kujiuliza hawa viongoz wetu wanawaza kwakutumia kiungo gan cha mwil, huwez lewa madame, give it a rest
Kweli wewe umelewa..... Patachimbika itakuwa world war 4...Bill nishalipa mie,,,njol nibebe twende kwa mama krala
Upo mikono mwake mwenyewe
HahahahaKweli wewe umelewa..... Patachimbika itakuwa world war 4...
I can't be positive in negative things like this[emoji39] [emoji39]Be positive
Weee tukutane we tutapatana[emoji23][emoji23][emoji23]Haki ya nani nimekupenda bure
Maana hawa mademu wangu wote katika vitu wanavyoniuzi ni kuniambia niache pombe , hapa nakula zangu sengereti huku naangalia gemu ya Liverpool karibu na huku
Hahahahaha sawqKama haujaelewa naomba ukalale
Pombe ina faida gani? Mm huwa naona km kupoteza hela na kuwa na jina jipya la mlevi.Nilidhania umetoa povu ,uje hapa nikuleweshe mpaka utambaee
Njoo basi
utakuwa umeachwa siyo bure mtoto wa kike pombe zote hizo unamkoa mnunuaji au unajikomoa wewe halafu mkiliwa mtandao ule mshangaeNipo nakunywa hapa,lakin silewii,,,ina maana nimekuwa kalevi kalikotukuka ama?yaan pombe imezoea damu ama[emoji23]