Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
- Thread starter
-
- #41
Weee aliekuambia namkomoa nani,,hebu lalautakuwa umeachwa siyo bure mtoto wa kike pombe zote hizo unamkoa mnunuaji au unajikomoa wewe halafu mkiliwa mtandao ule mshangae
Kunywa ulewe utajua raha yake Sema tu nina dozi daktari nako sijui anabifu na Mimi?Pombe ina faida gani? Mm huwa naona km kupoteza hela na kuwa na jina jipya la mlevi.
umeleta tuchangie au tulaleWeee aliekuambia namkomoa nani,,hebu lala
Haya toa povuumeleta tuchangie au tulale
Kesho naenda mbeya but ntarudi next week, kama vipi nikirudi tufanye pambano moja amazing kiwanja utachagua mwenyeweWeee tukutane we tutapatana[emoji23][emoji23][emoji23]
kuwa tayari kwa kabangi wine na bia kumi lazima kabangiHaya toa povu
Pole sana mkuu. Vipi una maendeleo gani ya maana?Pombe ina faida gani? Mm huwa naona km kupoteza hela na kuwa na jina jipya la mlevi.
Mbona nisharudi home nimelalaAmmhhhhh hongera mkuuu.
Ila kwa mwanamke ??? Aaarrrggghhhhh not a big deal mipombe ,alafu unanywea Bar ?????? Arrrgghhh inakua rahisi kukokotwa nakwenda kufanyishwa ngono zembe !!.
Kunywa ukiwa kwako.
Km nibar kunywa namwenzi wako.
Kwa mwanamke ,,, Unashauriwa kutumia angalau Glass moja tu kwasiku .
NB.Mwanamke anayekunywa pombe sana anakua namadhara makubwa ya uzazi namara nyingi huishia kuzaa mtoto Darasan huwa nibonge LA kilazaaa.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]usiulize kwann[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
NB....Mwanamme mnywaji wapombe Lazima asaidiwe majukumu na wanaume wenzake I mean agongewe mke.
HahahahahahhPole sana mkuu. Vipi una maendeleo gani ya maana?
Hizo hizo bia ngumu hapanaUnakunywa bia gani mama Sabrina? Maana kuna bia zingine hata kreti linaisha.
Poa, nimekusoma [emoji1] , enjoy!Hizo hizo bia ngumu hapana
Daaahhh basi sawa hongera km umefika salama !!!..Mbona nisharudi home nimelala
Kumbe ukinywa pombe unakuwa tajiri. Nilikuwa sijuiPole sana mkuu. Vipi una maendeleo gani ya maana?
No! thank youKunywa ulewe utajua raha yake Sema tu nina dozi daktari nako sijui anabifu na Mimi?
Sawa mara moja kwa mwezii haina mbayaDaaahhh basi sawa hongera km umefika salama !!!..
Ila usiwe unakawia kurudi nyumban namna hiyo !!...
Bila shaka ni sminoff [emoji482]. Sio sminoff vodkaUmenikumbusha mdada mmoja nilimvulia kofia alienda sminof 13 hadi nikajua ananikomoa....
Nilichofanya namimi nikamkomoa ila hakupepeseka wala.
G nilikuvulia kofia.
Ndiyo tabia za walev hiz, sijui akili mnahamishia kwenye kinyeo kuropoka hamjambo et Kwan sh ngp?Wewe njoo ,,kwani tax sh ngapiiii