Hizi pombe jomoni

Hizi pombe jomoni

Weee tukutane we tutapatana[emoji23][emoji23][emoji23]
Kesho naenda mbeya but ntarudi next week, kama vipi nikirudi tufanye pambano moja amazing kiwanja utachagua mwenyewe

After I loses everything pombe were still there and was the only thing that gave me at least a reliefs

Save water drink beer
 
Ammhhhhh hongera mkuuu.

Ila kwa mwanamke ??? Aaarrrggghhhhh not a big deal mipombe ,alafu unanywea Bar ?????? Arrrgghhh inakua rahisi kukokotwa nakwenda kufanyishwa ngono zembe !!.

Kunywa ukiwa kwako.
Km nibar kunywa namwenzi wako.

Kwa mwanamke ,,, Unashauriwa kutumia angalau Glass moja tu kwasiku .

NB.Mwanamke anayekunywa pombe sana anakua namadhara makubwa ya uzazi namara nyingi huishia kuzaa mtoto Darasan huwa nibonge LA kilazaaa.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]usiulize kwann[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

NB....Mwanamme mnywaji wapombe Lazima asaidiwe majukumu na wanaume wenzake I mean agongewe mke.
 
Unakunywa bia gani mama Sabrina? Maana kuna bia zingine hata kreti linaisha.
 
Ammhhhhh hongera mkuuu.

Ila kwa mwanamke ??? Aaarrrggghhhhh not a big deal mipombe ,alafu unanywea Bar ?????? Arrrgghhh inakua rahisi kukokotwa nakwenda kufanyishwa ngono zembe !!.

Kunywa ukiwa kwako.
Km nibar kunywa namwenzi wako.

Kwa mwanamke ,,, Unashauriwa kutumia angalau Glass moja tu kwasiku .

NB.Mwanamke anayekunywa pombe sana anakua namadhara makubwa ya uzazi namara nyingi huishia kuzaa mtoto Darasan huwa nibonge LA kilazaaa.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]usiulize kwann[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

NB....Mwanamme mnywaji wapombe Lazima asaidiwe majukumu na wanaume wenzake I mean agongewe mke.
Mbona nisharudi home nimelala
 
Umenikumbusha mdada mmoja nilimvulia kofia alienda sminof 13 hadi nikajua ananikomoa....

Nilichofanya namimi nikamkomoa ila hakupepeseka wala.

G nilikuvulia kofia.
Bila shaka ni sminoff [emoji482]. Sio sminoff vodka
 
Back
Top Bottom