Nikupitie wap mtt mzurSawa mara moja kwa mwezii haina mbaya
Ha ha ha ha usinikumbushe pombe.nna makovu mwilini ya kudondoka yalosababishwa na pombeNipo nakunywa hapa,lakin silewii,,,ina maana nimekuwa kalevi kalikotukuka ama?yaan pombe imezoea damu ama[emoji23]
Nimekunywa ka saint Anna na bia kama 10 yaan hata ndio kwanza,,acha nikalale tu ,,naacha pombe kuanzia leo[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utakaeongea povu hapa nakuelekeza nilipo uje unywe bia 5 nakupatia na demu mmoja mkali sanaa[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]
Muwe na siku njema
Mtt mzuru mambo[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji182] [emoji90]Mpaka hapo unaleta huu uzi tayari hauko sawa
Oa malaikaMwanamke mlevi, mshirikina,.....aaah niepushiwe mbali kwa kweli.
EhehehSupu anaijua uyo..mpaka atumike tena ndio aijue iyo ya supu[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Basi utakuwa kanywaji kazuri tu...you surpass other girls [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimekuambia sijaelewa
Kwahiyo kwa uandishi huu bado unajiona hujalewa,nia afadhali hivyo ulivyoamua kwenda kulala..Nipo nakunywa hapa,lakin silewii,,,ina maana nimekuwa kalevi kalikotukuka ama?yaan pombe imezoea damu ama[emoji23]
Nimekunywa ka saint Anna na bia kama 10 yaan hata ndio kwanza,,acha nikalale tu ,,naacha pombe kuanzia leo[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utakaeongea povu hapa nakuelekeza nilipo uje unywe bia 5 nakupatia na demu mmoja mkali sanaa[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]
Muwe na siku njema
NishaamkaKwahiyo kwa uandishi huu bado unajiona hujalewa,nia afadhali hivyo ulivyoamua kwenda kulala..
Pombe zimeishaNishaamka
Kwani nilikunywa basiPombe zimeisha
Pale ndo ulionja?Kwani nilikunywa basi