Hizi pombe jomoni

Hizi pombe jomoni

Nipo nakunywa hapa,lakin silewii,,,ina maana nimekuwa kalevi kalikotukuka ama?yaan pombe imezoea damu ama[emoji23]
Nimekunywa ka saint Anna na bia kama 10 yaan hata ndio kwanza,,acha nikalale tu ,,naacha pombe kuanzia leo[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utakaeongea povu hapa nakuelekeza nilipo uje unywe bia 5 nakupatia na demu mmoja mkali sanaa[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]
Muwe na siku njema
Ha ha ha ha usinikumbushe pombe.nna makovu mwilini ya kudondoka yalosababishwa na pombe
 
Supu anaijua uyo..mpaka atumike tena ndio aijue iyo ya supu[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Dada angu amua kuacha pombe haisaidii lolote zaidi ya kukupa shida akilini, na kujilaumu baada ya pombe kuisha kichwani, I was like you few months ago, niliamua kuiacha coz hakuna faida nilopata zaidi ya gharama
 
Nipo nakunywa hapa,lakin silewii,,,ina maana nimekuwa kalevi kalikotukuka ama?yaan pombe imezoea damu ama[emoji23]
Nimekunywa ka saint Anna na bia kama 10 yaan hata ndio kwanza,,acha nikalale tu ,,naacha pombe kuanzia leo[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utakaeongea povu hapa nakuelekeza nilipo uje unywe bia 5 nakupatia na demu mmoja mkali sanaa[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]
Muwe na siku njema
Kwahiyo kwa uandishi huu bado unajiona hujalewa,nia afadhali hivyo ulivyoamua kwenda kulala..
 
Back
Top Bottom