Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
- Thread starter
-
- #81
KidogoPale ndo ulionja?
Ukinywa hazikuletei Ashki?Kidogo
Ashki napata asubuhi[emoji1]Ukinywa hazikuletei Ashki?
Mpaka hapo unaleta huu uzi tayari hauko sawa
Heeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!Mtt mzuru mambo[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji182] [emoji90]
Asubuhi yenyewe si ndo hii sasa..Umeshajisaidia au unataka msaadaAshki napata asubuhi[emoji1]
Basi haina shida ... Nicheki 011-7-812-653-03-12.. Tunywe Russian standard gold vodka!!...Sawa mara moja kwa mwezii haina mbaya
Dah...wenge hilo la kuanza kunywa mvinyo kabla ya bia......Siku nyingine anza na bia kisha ndiyo unywe wine...utajisikia poa sana😀😀😀😀😀Nipo nakunywa hapa,lakin silewii,,,ina maana nimekuwa kalevi kalikotukuka ama?yaan pombe imezoea damu ama[emoji23]
Nimekunywa ka saint Anna na bia kama 10 yaan hata ndio kwanza,,acha nikalale tu ,,naacha pombe kuanzia leo[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utakaeongea povu hapa nakuelekeza nilipo uje unywe bia 5 nakupatia na demu mmoja mkali sanaa[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]
Muwe na siku njema
Mwenyewe umekosea ni smirnoff na sio sminoff niliandika haraka kurahisisha mmbo mzee kama ambvyo unaweza kuandika lkn badala ya lakini.Bila shaka ni sminoff [emoji482]. Sio sminoff vodka
Habar yako mzee hayo maeneo huwa hunishtui tusaidiane kukomoa enhee?Umenikumbusha mdada mmoja nilimvulia kofia alienda smirnoff 13 hadi nikajua ananikomoa....
Nilichofanya namimi nikamkomoa ila hakupepeseka wala.
G nilikuvulia kofia.
Hiyo ni typing error. Bila shaka umeelewa kama ni vodka sio kweli unacho zungumza. Ila kama ni bia kuna ukweli ndani yakeMwenyewe umekosea ni smirnoff na sio sminoff niliandika haraka kurahisisha mmbo mzee kama ambvyo unaweza kuandika lkn badala ya lakini.
Hahaha mzee kuna warembo utajiona unakomoa kumbe unajikomoa...Habar yako mzee hayo maeneo huwa hunishtui tusaidiane kukomoa enhee?
Ila sjajua mwisho wake ulikuwa ni upi mzeeHahaha mzee kuna warembo utajiona unakomoa kumbe unajikomoa...
Maeneo gani hayo chiefHahaha mzee kuna warembo utajiona unakomoa kumbe unajikomoa...
Hahaha dude hold on.... Smirnoff ice beer ina alcoholic za kawaida hadi inazidiwa na balimi... Vodka ndiyo inakubwa nafikiri kwenye 40-50% hapo.Hiyo ni typing error. Bila shaka umeelewa kama ni vodka sio kweli unacho zungumza. Ila kama ni bia kuna ukweli ndani yake
Hapo fungua code tu.Ila sjajua mwisho wake ulikuwa ni upi mzee
Unamrembo anaanza na G nini? Sio huyo bwanaMaeneo gani hayo chief