Hizi pombe jomoni

Hizi pombe jomoni

Wanawake wenyewe wanasemaga et ukinywa zinashuka down na kunataka balaa.
Vip ww mama Sabrina kulipita salama?
 
Nipo nakunywa hapa,lakin silewii,,,ina maana nimekuwa kalevi kalikotukuka ama?yaan pombe imezoea damu ama[emoji23]
Nimekunywa ka saint Anna na bia kama 10 yaan hata ndio kwanza,,acha nikalale tu ,,naacha pombe kuanzia leo[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utakaeongea povu hapa nakuelekeza nilipo uje unywe bia 5 nakupatia na demu mmoja mkali sanaa[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]
Muwe na siku njema
Dah...wenge hilo la kuanza kunywa mvinyo kabla ya bia......Siku nyingine anza na bia kisha ndiyo unywe wine...utajisikia poa sana😀😀😀😀😀
 
Umenikumbusha mdada mmoja nilimvulia kofia alienda smirnoff 13 hadi nikajua ananikomoa....

Nilichofanya namimi nikamkomoa ila hakupepeseka wala.

G nilikuvulia kofia.
Habar yako mzee hayo maeneo huwa hunishtui tusaidiane kukomoa enhee?
 
Mwenyewe umekosea ni smirnoff na sio sminoff niliandika haraka kurahisisha mmbo mzee kama ambvyo unaweza kuandika lkn badala ya lakini.
Hiyo ni typing error. Bila shaka umeelewa kama ni vodka sio kweli unacho zungumza. Ila kama ni bia kuna ukweli ndani yake
 
Hiyo ni typing error. Bila shaka umeelewa kama ni vodka sio kweli unacho zungumza. Ila kama ni bia kuna ukweli ndani yake
Hahaha dude hold on.... Smirnoff ice beer ina alcoholic za kawaida hadi inazidiwa na balimi... Vodka ndiyo inakubwa nafikiri kwenye 40-50% hapo.


Vodka asingeweza kwenda zote hizo.
 
Back
Top Bottom