Bonny
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 13,370
- 29,968
Nmekuelewa alienda kulewa kwa mengne MzeeHapo fungua code tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nmekuelewa alienda kulewa kwa mengne MzeeHapo fungua code tu.
HahahahaNmekuelewa alienda kulewa kwa mengne Mzee
Ha ha ha ha mzee siri za chama ila kulewa lazma waleweHahahaha
Unapenda kulewesha eeeh?
Umenikumbusha mdada mmoja nilimvulia kofia alienda smirnoff 13 hadi nikajua ananikomoa....
Nilichofanya namimi nikamkomoa ila hakupepeseka wala.
G nilikuvulia kofia.
Tatizo unaweza kukutana na wanywa maji kama naniii.... Akishashik chupa yake ya uhai au masafi basiHa ha ha ha mzee siri za chama ila kulewa lazma walewe
Ice beer.Unamaanisha hizi au?
au![]()
![]()
Ha ha ha ha every human being has the price mzee so anaweza akanywa maji ya uhai ila nkamlevya kwa mengneTatizo unaweza kukutana na wanywa maji kama naniii.... Akishashik chupa yake ya uhai au masafi basi
Hizo ice tamu mno,,wapunguze sukariIce beer.![]()
Hahahaahhautawala huu ukinywa unachelewa kulewa...labda umix na nyagi kidogo stimu zinakuja...!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ma Sabrina cha pom...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji107] [emoji107]
Sasa kama silewi ulevi unatoka wapi myAisee mtoto wa kike haipendez ukiwa mlevi. Tabia mbaya sana hio!
njoo tunywe wote zikipanda nazishushaHahahaahha
Sasa kama silewi ulevi unatoka wapi my
Umeona eeSiku hizi hawatengenezi pombe kali, maana mkilewa mapema ni hasara kwa Viwanda.