Hizi pombe jomoni

Hizi pombe jomoni

Umenikumbusha mdada mmoja nilimvulia kofia alienda smirnoff 13 hadi nikajua ananikomoa....

Nilichofanya namimi nikamkomoa ila hakupepeseka wala.

G nilikuvulia kofia.

Unamaanisha hizi au?
19386-Smirnoff-1L_1.png
au

dscf1036_1024x1024.jpeg
 
Tatizo unaweza kukutana na wanywa maji kama naniii.... Akishashik chupa yake ya uhai au masafi basi
Ha ha ha ha every human being has the price mzee so anaweza akanywa maji ya uhai ila nkamlevya kwa mengne
 
utawala huu ukinywa unachelewa kulewa...labda umix na nyagi kidogo stimu zinakuja...!
 
Ma Sabrina cha pom...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji107] [emoji107]
 
Aisee mtoto wa kike haipendez ukiwa mlevi. Tabia mbaya sana hio!
 
Siku hizi hawatengenezi pombe kali, maana mkilewa mapema ni hasara kwa Viwanda.
 
hahahahahha ukute hata energy drink ya azam huna... unapiga chepuo upate sponsor wa st anna... ila kula bata, maisha yenyewe mafuupiiii mwaya , ukilewa mapema viwanda vitafungwa uvhumi utazidi kushuka...!!!
 
Back
Top Bottom