mwanamke anayskunywa konyagi ana roho ngumu sana, yeye haoni shida kukuchinjia baharini kwa ajili ya manufaa yakeUkiona mwanamke anakunya konyagi, Safari au castle lager, jua ni mwelewa na anajua anachokifanya.
Na Mara nyingi huwa wawazi muda wote kuonyesha hisia zao
Hao wanaokunywa bia laini wengi wao jua ni wasanii kuliko wasanii wenyewe.
Kuna usiku jamaa yangu alinambia ngoja anataka kwenda kujiunga....na kifurushi bar...kumbe alikuwa anakwenda kulamba pilsner za 1500Duh! kifulushi cha chuo? nimecheka sana,
Mkuu unamaanisha kitu cha banana nini?Kuna kale kadogo kanaitwa kirikou, kananasa fasta halaf ni nusu bei.
Ngumu. Hizo ni kwa ajili ya wavuja jasho, kama wakulima na watu wa kazi ngumu.
Binti mrembo unakunywa lite ml 330 na si mibia ya nusu lita
Bila kumulika tochi wewe ukawa[emoji23] [emoji23]baa niende kufanya nn?nunua viroba vya buku 5 tia mfukoni then tandika ki1 baada ya kingine
Mkuu huku Burundi kuna kitu cha Plimus na Amstel chupa ya bia lita3 alafu kilevi chake usipime tunagonga nao tu hawa warembo au njoo kanda ya ziwa kuna Balimi Safari mchumbaNgumu. Hizo ni kwa ajili ya wavuja jasho, kama wakulima na watu wa kazi ngumu.
Binti mrembo unakunywa lite ml 330 na si mibia ya nusu lita
Zina mabonge bongeKwani safari lager zikoje kaka?
Mkuu ndio upo huko nini, maana hivyo vyombo balaaa!!!!
Lengo ni ujumbe ufike haraka mkuu[emoji12] [emoji12]Ni ukata au ni nini mkuu.
hizo ni za DRC mkuu?View attachment 332980hizi ndio bia bhana