Hizi pombe za sikukuu bhana, nimemwona mrembo akinywa safari lager!

Hizi pombe za sikukuu bhana, nimemwona mrembo akinywa safari lager!

Ukiona mwanamke anakunya konyagi, Safari au castle lager, jua ni mwelewa na anajua anachokifanya.

Na Mara nyingi huwa wawazi muda wote kuonyesha hisia zao


Hao wanaokunywa bia laini wengi wao jua ni wasanii kuliko wasanii wenyewe.
mwanamke anayskunywa konyagi ana roho ngumu sana, yeye haoni shida kukuchinjia baharini kwa ajili ya manufaa yake
kwa kifupi ni Mafia
 
Huyo ana kichwa kigumu huwa wanasubiri ujipendekeze tu siku ya pili utamsimulia kila rafiki yako kilichokukuta jana yake..usiombe unywe nao huwa wanamalza hata kreti au nusu kreti mana akienda chooni anajitapishaaa akirudi ni kama anaanza upya
 
Ngumu. Hizo ni kwa ajili ya wavuja jasho, kama wakulima na watu wa kazi ngumu.

Binti mrembo unakunywa lite ml 330 na si mibia ya nusu lita

Hali mbaya jpm kabana yale makeke ya awamu ya nne tumeisha yaacha, sasa hiv hakuna mbuzi choma wala hot chair, hivyo ngoja tubanane ngumu ngumu hizo, hiz raini tutatumiwa cku ya ofa au harusi
 
1459143596698.jpg
hizi ndio bia bhana
 
Ngumu. Hizo ni kwa ajili ya wavuja jasho, kama wakulima na watu wa kazi ngumu.

Binti mrembo unakunywa lite ml 330 na si mibia ya nusu lita
Mkuu huku Burundi kuna kitu cha Plimus na Amstel chupa ya bia lita3 alafu kilevi chake usipime tunagonga nao tu hawa warembo au njoo kanda ya ziwa kuna Balimi Safari mchumba
 
Alikuwa Anakata mbuyu akitoka hapo anaenda kuzuga na windhook. ahahaaa
 
Back
Top Bottom