real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,299
mwanamke anayskunywa konyagi ana roho ngumu sana, yeye haoni shida kukuchinjia baharini kwa ajili ya manufaa yakeUkiona mwanamke anakunya konyagi, Safari au castle lager, jua ni mwelewa na anajua anachokifanya.
Na Mara nyingi huwa wawazi muda wote kuonyesha hisia zao
Hao wanaokunywa bia laini wengi wao jua ni wasanii kuliko wasanii wenyewe.
kwa kifupi ni Mafia