Hizi projects zitaifanya Dar kua unbeatable lifetime modern city in East Africa

Hizi projects zitaifanya Dar kua unbeatable lifetime modern city in East Africa

Dhana ya "modern city" Das'lam iondoeni, there's nothing like a modern city here. Sisi tujenge tu hicho kinachowezekana kujengwa maisha yaende.

Nikupe mfano, barabara ya Morogoro kuanzia city centre inahitaji usafiri wa aina zaidi ya tatu.

1. Roads for private and public cars. Hizo barabara zilizopo, njia mbili si sawa kabisa, zinaruhusu gari kuingia na kutoka lakini hazikidhi, walau njia tatu kwa sita, tatu kwenda tatu karudi. Hii inatakiwa toka city centre hadi Chalinze.

2. Mwendokasi.
Inatakiwa ianzie city centre hadi angalau Kibaha, sio pale Kimara, another mistake.

3. Trams.
Third transport choice uwe trams pembeni ya hizi njia tatu, hizi zitakuwa slow, kubeba watu wasioenda mbali, mfano mtu hapana kimara-msugule.

4. Trains.
Kutoka city centre hadi Chalinze, ipite pembeni ya barabara kuu.

Swala la uhaba wa usafiri tutazisikia kwa jirani.

Kuna issue nyingine, stand ya Ubungo inaenda Mbezi-Kimara, wasipoweka design nzuri pale Mbezi kutakuwa na foleni ya kufa mtu, yaani foleni lote la Ubungo mataa litahamia Mbezi.

Sasa, mfano niliotoa kwa barabara hiyo, unatakiwa kutekelezwa kwa barabara zote za jiji. There we can overcome the transport issue, pamoja na kujenga ring roads, street roads na penye umuhimu kujengwe flyovers, overpass roads na interchanges.
Utopian Tz
 
Vitu huenda polepole unahis unaamka tu unajenga trams and all tht ..Tanzania nzima inahitaji kujengwa so it takes tym ..tumeanza na BRT kuna DMDP zote hizo ni project za kusaidia mji na bado kuna miji mingi inahitaji miundo mbinu .hospitali zinahitaj dawa...mikoa inahitaji kuunganishwa na barabara ..wanafunzi wanahitaji mikopo ..so so far ttunajitahid na project zilizopo kama dmdp brt phase 2 n 3 ,ubungo interchange,tazara flyover ..and etc
Maji safi na salama mji mkuu bado....mtu analundika ma dumu nyumbani unadhani anauza gongo....imagine "modern city no clean and runing water"
 
Vitu huenda polepole unahis unaamka tu unajenga trams and all tht ..Tanzania nzima inahitaji kujengwa so it takes tym ..tumeanza na BRT kuna DMDP zote hizo ni project za kusaidia mji na bado kuna miji mingi inahitaji miundo mbinu .hospitali zinahitaj dawa...mikoa inahitaji kuunganishwa na barabara ..wanafunzi wanahitaji mikopo ..so so far ttunajitahid na project zilizopo kama dmdp brt phase 2 n 3 ,ubungo interchange,tazara flyover ..and etc
Mkuu, nchi yetu sio changa kiasi hicho, watu wameitafuna miaka mingi ndio maana tupo tulipo, tungekuwa serious leo hii tusingeongea mambo ya "matundu ya vyoo", we lag behind and we should admit it's our fault.

Sijui kama umenielewa, lakini kwa vile na sisi wananchi tunaridhika na speed ya maendeleo, ni heri tupu!! Kumbuka tu hapa tusiongee siasa wala vyama , tuongee reality.
 
Yes in reality progress haiko tht fast hilo nakubaliana..unaona solution ni nn kifanyike
 
Mkuu, hujaelewa hoja yangu na sidhani kwa malumbano haya tutaelewana. Ndio zipo projects kadhaa kutengeneza jiji.
je, zinahusisha maeneo mangapi katika jiji?
Je, unajua mji unapanuka kiholela? Njoo Mbezi-Kimara kuelekea Kibaha utaelewa ninachoongea, achilia mbali huko manzese na mburahati.

Acha kuangalia miradi ambayo ni insignificant, miradi miwili mitatu tu. Angalia jiji lote kama lilivyo na piga picha 20-50yrs to come.
kuna sehemu zipo kiholela ila si kila sehemu ipo kiholela,,,,,,,mfano kigamboni karibia asilimia yote ya kigamboni imepimwa......mbali na hapo pia kuna sehemu nyingine nazo zimepimwa na kingine suala la kupima maene si swala rahisi kama vile udhaniavyo....

kingine huwezi kuniambia niache kuangalia miradi inayofanyika angali hapo mwanzo hakukuwa hata na mradi mmoja ambao ulikuwa unaleta taswira ....
hii nchi ni kubwa na inamaeneo mengi sana mbali na dar na zote zapaswa kujengwa kimipango zaidi.....hivyo lazima kila kitu kiende kwa process asilimia kubwa ya tanzania majengo hujengwa na serikali pia na mtu mmoja mmoja tofauti na nnchi zilizoendelea kwani wao wawekezaji ndiyo hujenga zaidi yaani kampuni ama mtu mmoja anaweza kujenga mji kisha nyumba zikauzwa ama kupangishwa..,,na watu ama kampuni lazima ijenge kwa mpangilio
mfano avic town[emoji116] [emoji116] [emoji116]
images.jpeg
 
Vitu huenda polepole unahis unaamka tu unajenga trams and all tht ..Tanzania nzima inahitaji kujengwa so it takes tym ..tumeanza na BRT kuna DMDP zote hizo ni project za kusaidia mji na bado kuna miji mingi inahitaji miundo mbinu .hospitali zinahitaj dawa...mikoa inahitaji kuunganishwa na barabara ..wanafunzi wanahitaji mikopo ..so so far ttunajitahid na project zilizopo kama dmdp brt phase 2 n 3 ,ubungo interchange,tazara flyover ..and etc
kweli kabisa
 
Kujazana upepo tu,hiyo stand na hizo hotels zitamsaidia nini mwananchi aliyeko kule Mpitimbi huku kg 1ya sukari akiinunua Tsh2,600/= mafuta ya kupikia kipimo 1,000/=

Sasaivi kuna hiko mnachoita mwendokasi,bora mtu akapanda guta atawahi anakoenda kuliko kusubiri hayo madude,hakuna tunachoweza kusimamia kikaenda straight vyote hovyo hovyo tu.
ficha ujinga wako wako ndugu hizo hotel na stand zitaongeza mapato ya serikali yanayotumika kuboresha huduma za kijamii. au na huduma za kijamii huzifahamu?
 
hahahaha umejibu vizuri ila nataka utafakari tena mji wa Nairobi ukiwa na Pinnacle tower na Montave tower na mambo mengine...nasi pia tunachanganya mahindi na maharage pia...ingawa tumekosa stendi ya basi, tuna mambo mengine ambayo yanaifanya mji kuwa modern-looking..mfano kuna ile mall ambayo ndio kubwa kabisa barani nje ya afrika kusini...na hii hapa chini pia..hii ni stesheni tu ya mabasi na treni pamoja na industrial park ambayo inajengwa pia..
image314.jpeg
lini itakua na pinnacle na montave??😀😀😀
wazee wa renders au wazee wa ndoto za asubuhi🙄
 
Tunajenga tatu city na konza city lakini sijaskia au kuona wakenya wakijigamba hapa, hizo ni projects ambazo zishaanza tiyari. Na zingine kadhaa bado ziko kwa proposal kama hii yenu.
munajenga ziko wapi??? tatu city nilianza kuiskia almost 6 yrs ago where is tatu city??? where is konza???
😀😀😀😀 unatuletea stori za alinacha hapa
 
zikikamilika itawapa boost nakubaliana na hio mkuu ila kusema kuwa ndio itakuwa the most modern city in EA baada ya stendi ya basi sikubaliani...hapo ndio nina tashwishi nayo ila kwa sgr yenu nawapa tick kabisa
hvi jay naomba unioneshe bus stage angalau inayoikaribia hii bus stage?? na ukumbuke hii bus stage iko mpanda sijui hata hio sehem ulishawah iskia😀😀😀
1599B33A-C043-42E5-B74E-3723F28353F2.jpeg

nyingine hii msamvu iko morogoro 🙄🙄
593AECAA-4130-4738-A0E2-2AAAAB4619C0.jpeg
 
Back
Top Bottom