Hizi promo nyingine, eti Diamond kalipwa pesa nyingi na BET!

Trace pia wameanza kulipa? Thank u for updates.
Kama mtu kavuta mkwanja mrefu kutambulishiwa tu wimbo bas hao ambao nyimbo zao ziko kwenye top ten watakuwa wanalipwa vizur zaidi.
(kama ni kweli ulichosema&#128514😉

Jamaa anaongea kama hana kichwa.
 
Trace pia wameanza kulipa? Thank u for updates.
Kama mtu kavuta mkwanja mrefu kutambulishiwa tu wimbo bas hao ambao nyimbo zao ziko kwenye top ten watakuwa wanalipwa vizur zaidi.
(kama ni kweli ulichosema&#128514😉

Mkuu ni kweli kiba alilipwa Trace
 
Trace pia wameanza kulipa? Thank u for updates.
Kama mtu kavuta mkwanja mrefu kutambulishiwa tu wimbo bas hao ambao nyimbo zao ziko kwenye top ten watakuwa wanalipwa vizur zaidi.
(kama ni kweli ulichosema&#128514😉

Malizia Wanaokamata namba 1 trace 😂😂😂
 
mbona AY na jide(give me love) nyimbo zao zinapigwa vituo vikubwa afrika ila hawasemi kama huyo boya ila anaweza akatoa hadi pesa huyo ili nyimbo zake zichezwe si mzee wa misifaaa na bado......

We mgumu kuelewa diamond hajasema vituo vya Africa ndo vilivyomlipa kasema bet ya marekani wale wano own bet awards walipiga number one ndo akalipwa
 
Kuna watu humu ndani ni wachawi 100% wao kutwa kupinga mafanikio y mwenzao......chibu ni level zingine mwambieni kiba kma trace kalipwa mjwanja mrefu akapange nyumba sio kua mdananda
 
Mto mada umesema umeingia neti mbona usemi kitu gani umekiona sasa juu ya iyo inshu??, au unazungumza kisa una chuki na mtu,,, toa vidhibitisho vyako basi tuone kweri uongo au la
 
Ingia kwa mirad ayo utaona ni kweli wamelipwa million 49 just kwa wimbo wa my number one rmx kupigwa Mara nne. Wenyewe walikuwa hawaamini
 
Japokua mtoa mleta mada kasema ameingia net lakini bado cjaona internet imemsaidia vipi kutetea hoja yake.
 

Nafkri mtoa hoja hayajui vizuri masuala ya mziki,,,,BET siyo kama ITV ndugu yangu mtoa Hoja,,,,
 
jamaaa anapenda sifa sana yule kwa hiyo jidee itakuwa na yy na AY wanalipwa mpunga mrefu mbona wapo kimya duu ila dai hata akibadilisha viatu anaonyesha mashabiki haya bwana!

Kama nakuona team flani hivi.. acha wivu buana...
 
Hivi watu wengine siku haiwezi kupita bila kutoa negative comment kwa Diamond au Ali Kimba.....?!
 
Jamani tuwe wa kweli tu Diamond....
Huwa hatumpendi na tunatamani kuona aidha amefariki au kafa kimuuziki.....ili wote tufe njaa
Toka zamani kulikuwa na kilio kuwa our artists do not incorporate themselves in the world market... Leo hii huyu dangote kakomaa intaneshonale we want to kill him.......tunalalamika hardness of life mtu katikati yetu anajitokeza kutueleza uhalisia wa maisha kwa vitendo (if-conditinally-life) we do hate Jim heavily halafu jioni tunapata kahawa then tunaidisi thithiemu kutusababishia tough life
What a shame!!!!!???
 
ukisema ni kwanin haipit siku bila watu Kupiga majungu kwa chibu ni sawa na kujiuliza kwanin watu wakiandika izo jungu zao huwa unashindwa kuzuia hisia zako nae kujikuta ukilazimika kuandka au kujibu kitu..!!alls means chibu anabeat na mapigo ya mioyo ya watu..?!
 
Reactions: me1
Duh..yan kuna watu humu akiguswa dai tu wanatokwa na povu kama nn..dah ...halaf mamen ...najiulizaga sana ..hata dai hawajui mtu anatokwa na povu kisa dai kakosolewa jambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…