me1
JF-Expert Member
- Jan 24, 2015
- 367
- 422
Kiba mwenyewe kavuta mkwanja mrefu #trace lakini yupo kimya.
Trace pia wameanza kulipa? Thank u for updates.
Kama mtu kavuta mkwanja mrefu kutambulishiwa tu wimbo bas hao ambao nyimbo zao ziko kwenye top ten watakuwa wanalipwa vizur zaidi.
(kama ni kweli ulichosema😂😉