dai bwana ana vituko asipoacha sifa tutaona mengi mara kanunua lambogin mara choo 70m katengeneza mara kaenda kwenye harusi ya p square mara kajaza watu kwa lowasa mara singida but lets wait n see if continues what happen ???
Pwilo mara zote uko negative kwa habar inayomuhusu Diamond,hata kama ana deserve utapinga tu na facts ambazo si za msingi.
Kwangu mim,msanii kujisifia sion kama ni tatizo provided anastahil hizo sifa (Kwa wasanii wa marekani hii ni kawaida na kila mtu hutamba na kuonyesha majivuno ya hali ya juu).Kwa sis tuliosoma fasihi hii inaitwa MAJIGAMBO na ni namna ya kuifanya hadhira iongeze Concentration kwako.
Tatizo kuna uelewa mdogo kuhusu Kuishi ki-Star na maisha ya kawaida ndio hapo mnapochanganya na kutaka huyu dogo aishi kama ni mwimbaji wa Gospel.Mara mwez wa ramadhan,mara anapenda sifa,mara .... Yan kila mtu na kile anachokiona bila kujua kuwa ukichagua kuishi ki-star inakufanya uwe expensive na kibiashara hii target nzur sana. (Ndio mana MayMoney na ManPac hawakulipwa sawa japo walipigana ulingo mmoja).
Kuhusu BET,walimnominate diamond kwenye tunzo na ukiwa nominated kuna wakat nyimbo zako zinakuwa zinapigwa na sio Diamond tu,hata wote wengine akina Davido hii deal wanaijua ila tu ni vile Diamond ndo kaiweka waz na vile anaonekana ni mtu wa kujikweza ndo mana mnapata nguvu ya kubisha.
BET kumlipa msanii ni jambo la kawaida sana na naskitika kuona kuna upinzani unajitokeza juu ya hili,na nikumbushe kwamba hyo amount inaonekana kubwa kwa vile mgao wake pia ni mpana....kwenye hyo pesa kuna percent ya Director,producer n.k....