Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Huo ni uwongo
Nguo nyekundu na radiUpi ni uongo hapo?
anakataaje hili jina na lishakubalika😅Super feo bhana 😂
Super feo bhana [emoji23]
anakataaje hili jina na lishakubalika[emoji28]
😅😂Ase nitapiga mtu vichwa [emoji23][emoji23]
Acha woga
Kaa nyumbani usome
Leo nipo wodi ya wanawake wanaojifunguaMkuu upo hospital leo zamu? Radi imepasua masikio yangu
Hakuna radi hapo kaka, nenda mbeya hasa hasa tukuyu mwezi wa pili na watatu. Yan kuna tym radi inadondoka mpaka ardhini, inasimama mbele yako huku ikijiuliza kama ikugoge au ikuleshe.