Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 12,582
- 26,053
Majuzi hapa wala hakukua na mvua.Dah hizi radi za hapa Dar this week zitatumaliza soon nime ghail kwenda taifa kisa radi af nguo nyekundu na radi si hazipatani kabisa?
Ilikua mida ya sa mbili nipo kwa bi mkubwa.
Aiseh nilisikia bonge ya mlio yani mlipuko si mlipuko, bomu si bomu.
Kumbe ni radi lkn si Dar.