Hizi radi zitatuua na Bp

Hizi radi zitatuua na Bp

Dah hizi radi za hapa Dar this week zitatumaliza soon nime ghail kwenda taifa kisa radi af nguo nyekundu na radi si hazipatani kabisa?
Majuzi hapa wala hakukua na mvua.
Ilikua mida ya sa mbili nipo kwa bi mkubwa.
Aiseh nilisikia bonge ya mlio yani mlipuko si mlipuko, bomu si bomu.
Kumbe ni radi lkn si Dar.
 
😂😂😂😂 khaaa
Hakuna radi hapo kaka, nenda mbeya hasa hasa tukuyu mwezi wa pili na watatu. Yan kuna tym radi inadondoka mpaka ardhini, inasimama mbele yako huku ikijiuliza kama ikugoge au ikuleshe.
 
Back
Top Bottom