Majuzi hapa wala hakukua na mvua.
Ilikua mida ya sa mbili nipo kwa bi mkubwa.
Aiseh nilisikia bonge ya mlio yani mlipuko si mlipuko, bomu si bomu.
Kumbe ni radi lkn si Dar.
Hakuna radi hapo kaka, nenda mbeya hasa hasa tukuyu mwezi wa pili na watatu. Yan kuna tym radi inadondoka mpaka ardhini, inasimama mbele yako huku ikijiuliza kama ikugoge au ikuleshe.