Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
- #21
ni tiba pia
Ya ugonjwa gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni tiba pia
Weka headphones
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kvipi??Super feo bhana [emoji23]
Zimeshamaliza wangapi so far?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna radi hapo kaka, nenda mbeya hasa hasa tukuyu mwezi wa pili na watatu. Yan kuna tym radi inadondoka mpaka ardhini, inasimama mbele yako huku ikijiuliza kama ikugoge au ikuleshe.
Boy from Dar kama kawaidaDah hizi radi za hapa Dar this week zitatumaliza soon nime ghail kwenda taifa kisa radi af nguo nyekundu na radi si hazipatani kabisa?
Leo nipo wodi ya wanawake wanaojifungua
Boy from Dar kama kawaida
Vitani mtakwenda kweli wanangu?
Wanaume wa Dar[emoji23][emoji23][emoji23] ase kuna radi imepiga hapa masikio yanauma nataka niende hospital
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hongera kwa kuongopaHakuna radi hapo kaka, nenda mbeya hasa hasa tukuyu mwezi wa pili na watatu. Yan kuna tym radi inadondoka mpaka ardhini, inasimama mbele yako huku ikijiuliza kama ikugoge au ikuleshe.
Huyo ndio super mario super feo 😂anakataaje hili jina na lishakubalika😅
Atutibu radi 😂[emoji23][emoji23][emoji23] ase kuna radi imepiga hapa masikio yanauma nataka niende hospital
Wanaume wa Dar
Mjomba, sio poa nakwambia mjomba, sio poaUko mbeya huwa naendaga mwez wa sita
Radi ni tiba ya nini mkuu?ni tiba pia
Weka pambaIli nife kabisa