Hizi ripoti huwa haziakisi ukweli. Mimi nikiwa na Tsh 10,000/= nikiichenji tu inakatika ndani ya saa

Supu ya buku mbili, mchana buku tatu usiku buku tatu buku teni inakuwa imeisha.

View attachment 2518711
Hiyo bei ya bidhaa zilizowekwa hapo mbona zikochini sana? Ni wapi huko?
Maana sie tunanunua kg 1 ya dengu tsh 5000, ufuta 5000, mchele 3000, karanga 1kg tsh 6000/
Imefika hatua wauzaji wa rejareja wameamua kuacha kuuza wanasema hazina faida!😔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…