Hizi sasa sifa; Baada ya kolabo na Rick Rosey, Diamond kuja na kolabo na Omarion

Nyimbo ya I miss you, mond kamshirikisha nan??
 
Thread nzur ya kumpongeza Mond Bin laden
Lakini umeharibu ulivochukua beam balance.
 
Wakati watanzania tunasubiria Kollabo kati ya Diamond Platnumz na Rick Ross sasa Diamond Aja na nyingine Diamond Platnumz X Omarion. Video inasambaa instagram na sasa Tusubirie tuu taarifa Rasmi kutoka kwa Diamond ama Omarion ama Tale kwamba ngoma hii itakua lini maskioni na machoni mwetu
 
[emoji16] [emoji51] [emoji119] [emoji119]
Kwanini diamond na kcee na davido hawawezi kusimama peke yao katika muziki.

Lakini watu kama wiz kid, Mr eazi, Tekno, nasty C, Casper nvyovest, wana uwezo mkubwa mno kwa asilimia 80% kusimama wenyewe na wakasound heavy kuliko kawaida.....


[emoji3] [emoji1] [emoji122] [emoji122]
Lakini lazima tumsapoti diamond kwa anachokifanya ipo siku atasimama mwenyewe.
 
Asley kashafanya show lini angalau hata malawi na mozambique?.
Diamond soko la africa mashariki kamaliza hana mpinzani

Hata Wizkid sasahivi
Asley kashafanya show lini angalau hata malawi na mozambique?.
Diamond soko la africa mashariki kamaliza hana mpinzani

Hata Wizkid sasahivi anafanya collabo mfululizo
Wizkid ft drake
Wizkid ft wale
Wizkid ft major lizer
Wizkid ft future

Unataka kusema wizkid nae sikuhizi hawezi simama mwenyewe?
 
Imefikia viwango vya Pusha au Natamba?
Viwango vya pusha au natamba ? Mkuu upo serious kweli?
I miss you umeangalia mauzo yake hasa online?
Nenda kaangalie mauzo yake kwa nchi za africa hasa zimbabwe, ghana na nigeria , kenya, rwanda ,uganda na burundi
Alafu kaangalie mauzo ya pusha na natamba kwa pamoja kama inafika hata nusu ya mauzo ya i miss you

Tatizo mnapenda kuropoka bila kufanya utafiti
 
Uzuri wa diamond huwa haangalii nyuma nyie mtaseema mara veteran ,waliochuja, zilipendwa , ananunua collabo ...mwenyewe anazid kwenda mbele na kuongeza fan base maneno tuliumbiwa binadamu na hakuna mwanadamu anaeweza kumfurahisha kila mtu nafsi yake..
 
Good [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Hivi side mtoto wa mama shamte hajatoa kitu kingine? Hahahaa
 
Dah nampogeza aliyekupa hilo jina....wewe ndo talent boy....maana hakuna kumi bila 0
 

Alikiba bila Mange ni mwepesi kuliko unyoya wa kuku
 
Talent boy u are really talent
 
Tunazungumzia biashara ya muziki. Kufanya colabo na wasanii wa kimataifa kunaongeza popularity jambo ambalo ni muhimu kwa msanii yeyote.
 
Mkuu..ww akili zako zipo kwenye kichogo
 
Uzuri ni kwamba, wanaotengeneza hizi connection wanafahamu zaidi nini wanafanya kuliko wewe!! Na unavyoonekana uelewa wako ni mdogo kwenye haya mambo ndio maana umefikia kusema "kununua collabo!"

Kwamba eti hawezi kusimama peke yake ni kiroja kingine kinachoonesha wazi hufahamu mbinu za kujitanua kimuziki!! Ungekuwa unalifahamu hilo, ungegundua mapema kwamba Diamond huwa anafanya collabo hatua kwa hatua kwa kuangalia anataka kupenya soko gani hasa!!!

Kwavile anafahamu soko kubwa Afrika ni Nigeria, alianza kuwekeza nguvu zake huko! Leo hii wafuatiliaji wa muziki wa Nigeria na West Africa kwa ujumla wanafahamu kazi za Diamond!!

Baada ya Nigeria, akapeleka nguvu zake Afrika Kusini na alipotoka Afrika Kusini, akaamua kujaribu bahati yake nje ya bara la Afrika!

Wakati anafanya collabo na Neyo, watu kama nyinyi mlikuwa mnasema Neyo si lolote si chochote; ameshafulia! Kinyume chake, ni juzi tu hapa amechukua 6X Platinum Sales Certification kwa ngoma aliyoshirikiana na yule yule watu waliyekuwa wanasema ameisha huku akiwa ndo first African Artist under UMG kufikia 6X Platinum!!!

Sasa nyie endeleeni tu kusema hawezi kusimama peke yake au anafanya collabo na zilipendwa lakini wanaotengeneza hizo connection wanafahamu ni kwanini sio bora kumshirikisha Drake au Beyonce lakini ni bora sana kumshirikisha mtu kama Neyo au Omarion!!

Remember, kuna Diamond kumshirikisha Beyonce au Beyonce kumshirikisha Diamond... hivi ni vitu viwili tofauti na impact yake vile vile ni tofauti sana tena sana!!!!
 
Hivi kwanini diamond hawezi kusimama yeye kama yeye kama davido? Kila siku lazima ashirikishe mtu? Mbaya zaidi anashirikisha wasanii wakubwa lakini nyimbo zenyewe hazihit kama zamani, za kawaidaa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…