Hujui mbinu za kujitanua wewe!! Forget kwamba unaweza kufanya Bongo Flavor yako huku ukiwa umewashirikisha akina Jux halafu ukatarajia kufika japo hapo Ghana!!
Na kama unadhani anachofanya ni kuuza sura, nadhani mwenyewe umeona 6X Platinum sales. Kwa Recording Labels za South Africa, plain Platinum sales ni 20,000 units na hiyo 6X Platinum sales ina maana hadi sasa ameuza at least 120,000 units!!!
Ukiingia iTune, Marry You inauzwa kwa $1.29; which means, kwa 120,000 units, mauzo ni angalau USD 150,000. Hiyo ni itune peke yake!!! Hujaweka mapato ya Youtube wala caller tunes let alone royalties especially from Kenya!!
Tatizo la Wabongo ndo kama hilo ulilonalo wewe! Wabongo wanaweza kumkosoa mtu aliye kwenye industry husika kwa miaka kadhaa na kuona huyo muhusika hajui lolote lakini yeye ambae hajui hata bei ya mic ndie anafahamu biashara ya muziki!!!!