Hizi sasa sifa; Baada ya kolabo na Rick Rosey, Diamond kuja na kolabo na Omarion

Mleta mada mpuuzi sana eti analinganisha usta kupitia instgram hahahahah unatakiwa urudi shule research zako sijui za TBC nafikiri sikia nikwambia sio kila anayekufollow ata like na kucomment kwenye picha yako alafu kwenye kuna kupanda na kushuka ukiangalia mastaa wengi wa mziki wa marekani mfano rick ross au omarion wameshuka kiwango so hata fan base inapunguza kasi kumfatilia msaniiii au hana project mpya yenye kuleta impact kwa muda huo ndio maana usiishi kwa kukalili hata bongo mfano alikiba hana project mpya ndo mana unaona watu hawana mda nae kivile na km akijakuachia ngoma kwa muda mfupi na kali bhax fan base itakua very active kwake hata likes comments zitaongezeka pia alafu wazungu hawana tabia ya kuvamia page za watu sijui kukomenti ujinga hawanaga hizo IG iko kwa ajiri ya maisha yao binafsi na mambo mengine may be udhaminj wa matangazo au promotion ya bidha ambazo wako na mkataba nazo sio mastaa wa bongo wana follower wengi alafu wana postj biashara za watu wapate ela ila hawajui kwamba wanaua brand zao taratibu anagalia masupastaa wengi wanaoposta matangazo ya watu walipwe fedha wengi ni brand zao zimekufa tofauti na ulaya mtu hana njaa hzo akupostie tangazo hakuna kitu km hicho akikupa chance ya kutangazoma tangazo lako lazma aue brand yake au uwe umemlipa pesa ya kutosha kweli lazma utoke nduki na kuna mda mwingine wakiwa na mikataba mingine inawafunga kutotangaza kazi za msanii mwingine wa tofauti ya kwenye label waliopo i mean wa nje ya label yao may be wawe wame collaborate kwa hiyo usihishi kwa kukalili nkupe mfano tu kuna rapa anaitwa XXXTENTANCTION ana picha mbili tu IG ila picha yake moja ukigusa ana likes kuliko hata hao follower aliokua nao na hapo ana follow sawa na diamond million 4 so inategemea wanakufatiliaje au umeshuka au umepndaje kimziki
 
Mleta mada inaonekana umeanzia kumjua Omarian ulivyoona bosi wako Mondi kamshirikisha kwenye wimbo wake.

Huyo Mondi wako baadhi ya sehemu marekani hajulikani lakini Omarin most of the African country wanamjua ni nani.
 
Can’t wait siku nikisikia nyimbo ya Dimond imehit all over Africa ambayo kaimba peke yake..

Ki biashara na fan base anafanya vizuri ..inatakiwa asimame kwanza peke Kama msanii mkubwa Africa.
Maana Sasa hivi Kama kolabo 10 zinakaribia kufika.
 
Mimi ni team mondi damu....lkn hapo umetulisha tango pori kabisa uwongo mtupu....mond na rozee vitu Mbili tofaut rozeee na omarion ni wakubwa kimuzik kipesa yaan wamemzid kila kit mon d acha uduanz
 
Embu wakatize mitaa ya guinea bissau uone nani atagombaniwa
 
Sasa unapimwa na nini?
Ukiona hakuna mwenye time na wewe hujui huna impact yoyote.

Ingekuwa hajabu leo Christian Ronaldo angekuwa na Followers wachache kuliko Shiza Kichuya [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ronaldo huyu huyu wa sasa hivi angekuwa na followers wachache kuliko kichuya ndo ungetuletea uzi kwamba kichuya maarufu zaidi ya Ronaldo au ??? Fuk
 
Kati ya diamond na bilgates nani star?
Bilgates ana followers wachache insta..
Kwa hiyo pia unataka kutuaminisha kuwa na wema sepetu star kuliko mario?
Wasanii wetu wanapata followers wengi kwasababu wabongo tunatumia muda mwingi kufuatilia udaku, leo flani akigombana na flani au akweka picha za uchu wabongo washamfollow.
Hata wasanii wa nje ya tz washajua ukitaka followers wengi msifie msanii wabongo, watz watajaa kwenye page yako na kukufollow.
 
Nadhani ungeanza kulinganisha yupi kazi zake zimeuzwa sana duniani kuliko kulinganisha followers insta.
 
Hata kama ndio uzalendo hiyo hapana kiongozi, huwezi mfananisha omarion Wa B2K tangu nakua namsikiliza miaka ya 2002, uje umfananishe na huyu jamaa
 
Unawajua B2K wewe? Wafatilie kisha uje na mas.hudu tena.
 
Tuanzie hapa kwanza
Heartthrob Omari Ishmael Grandberry has an estimated net worth of $12 million. Omarion began his career after being discovered by a manager Christopher B. Stokes, for his vocal talent. His meeting Stokes led to the forming the group B2K. The band parted ways after a few years Omarion began to work on his solo album. His first solo album was launched in 2005 titled O.


Omarion Ana utajiri kama wa Sh. biliin 20 za Kibongo, Bado Hatujaweka personal endorsements....


Na wewe tuwekee za Diamond
 
kiefer sutherland - jack buer kwenye 24 na Tom kirkman kwenye designated survivor anafollowers 63k wakati jb wa bongo muvi ana followers laki nane utasema jb ni star kuliko kiefer?

maggie q - aliyeigiza kama nikita kwenye series ya nikita ana followers 150k wakati wema sepetu ana followers milion 3.1 je utasema sepenga ni star kuliko maggie q?

trevor noah ana followers 1.8 million wakati idriss sultan ana 2.1 hapo je tuseme idriss ni superstar kuliko trevor?

sisi watanzania ni mambumbumbu sana wa mitandao unakuta mtu mmoja anaaccount hata nne za insta na zote kamfollow wema au zari, kuna jirani yangu nimeshamsaidia kufungua account nne za insta kila akibadili simu anafungua account mpya kwa sababu hakumbuki password
 
Du Jamaa noma likes zinazidi followers wa diamond
 
Rozay na Omarion they are no longer favourite kwa fans wengi, na IG imewakuta wameshatoka kwenye 'peak' yao, so sishangai kuona wana followers wachache Insta, they were fire at one point so kuwa na adabu mdogo wangu
 
Kweli mkuu, na Aliko Dangote ajitahidi afikie level za Le Mutuz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…