MAJIYAPWANI
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 1,726
- 2,691
Mleta mada mpuuzi sana eti analinganisha usta kupitia instgram hahahahah unatakiwa urudi shule research zako sijui za TBC nafikiri sikia nikwambia sio kila anayekufollow ata like na kucomment kwenye picha yako alafu kwenye kuna kupanda na kushuka ukiangalia mastaa wengi wa mziki wa marekani mfano rick ross au omarion wameshuka kiwango so hata fan base inapunguza kasi kumfatilia msaniiii au hana project mpya yenye kuleta impact kwa muda huo ndio maana usiishi kwa kukalili hata bongo mfano alikiba hana project mpya ndo mana unaona watu hawana mda nae kivile na km akijakuachia ngoma kwa muda mfupi na kali bhax fan base itakua very active kwake hata likes comments zitaongezeka pia alafu wazungu hawana tabia ya kuvamia page za watu sijui kukomenti ujinga hawanaga hizo IG iko kwa ajiri ya maisha yao binafsi na mambo mengine may be udhaminj wa matangazo au promotion ya bidha ambazo wako na mkataba nazo sio mastaa wa bongo wana follower wengi alafu wana postj biashara za watu wapate ela ila hawajui kwamba wanaua brand zao taratibu anagalia masupastaa wengi wanaoposta matangazo ya watu walipwe fedha wengi ni brand zao zimekufa tofauti na ulaya mtu hana njaa hzo akupostie tangazo hakuna kitu km hicho akikupa chance ya kutangazoma tangazo lako lazma aue brand yake au uwe umemlipa pesa ya kutosha kweli lazma utoke nduki na kuna mda mwingine wakiwa na mikataba mingine inawafunga kutotangaza kazi za msanii mwingine wa tofauti ya kwenye label waliopo i mean wa nje ya label yao may be wawe wame collaborate kwa hiyo usihishi kwa kukalili nkupe mfano tu kuna rapa anaitwa XXXTENTANCTION ana picha mbili tu IG ila picha yake moja ukigusa ana likes kuliko hata hao follower aliokua nao na hapo ana follow sawa na diamond million 4 so inategemea wanakufatiliaje au umeshuka au umepndaje kimziki