Mkuu, ningependa kujua correct answers za Huyo mwalimu maana siamini macho yangu Huyo dogo alivopigwa Cross hizoU P D A T E S.
Mwanangu karudi na kilio leo kuwa nmemkosesha,nmejisikia mnyonge sana.
Nawaomba walimu wa English medium mfanye kazi zenu,na pia wazazi tufanye part yetu.
View attachment 1781100
Ni marufuku kumfanyia mtoto wako homework, sasa hapo mwalimu atampimaje kama alielewa au hakuelewa.
Wajibu wako km mzazi ni kuhakikisha mwano anapata muda wa kufanya home work na amalize, hata ukimuona ameandika masifuri sifuri mwache akachezee fimbo au azomewe na wenzake ndio atapata akili.
Keshasema, la saba.Elimu yako tafadhali.
unaogopa kuambiwa mama lini baba takupa mtoto mdogowangu mzuri ,ahahahaa tayari wanajua wanapatikanajeTunataka waelimike lakini kama anauliza busha ni nini mbele ya mgeni bado hajajua kupambanua mambo. usishangae swali tata zaidi next time.
Aiseee you was in my head....ahsante kwa hii thread ...sijui nisemaje yaani...nasubiri tu kikao Cha wazazi niongeeWatoto kila siku wanarudi na homework mpya mzazi uwasaidie. Ukimuuliza anakuambia mwalimu hajamuelekeza akaelewa.
Sasa nalipia ada zaidi ya milioni ili watoto wapewe homework niwe mwalimu wao?
Kwa nini hawawafundishi wanafunzi wakaelewa ndipo wawape hizo home work wakazifanye!?
Wazazi wengine hatuna hulka ya kufundisha na wengine ndio tuliishia la sababa.
Tunatafuta hela na kulipa ada ili walimu wawafundishe sio watuletee homework kuja kutupima ujinga wetu..!! Walimu fanyeni kazi yenu ya kufundisha msihamishe goli.
Mbona kwenye ada hatupunguziwi kwamba tumeshiriki kufundisha watoto hivyo tulipwe stahiki zetu!
Acha tuAisee hii ni shida mwanangu maswali ya darasa la pili uafikir form3 du watamuua mwanangu, kweli mtoto wa std 2 una muuliza swali la mention four symptoms of tuberculosis kweli, mpaka nikampigia rafiki yanyu doctor mana mimi nilikua najua 2 tu. Sasa sijui nasoma mimi au mwanangu
Umenigusa vilivyo.Watoto kila siku wanarudi na homework mpya mzazi uwasaidie. Ukimuuliza anakuambia mwalimu hajamuelekeza akaelewa.
Sasa nalipia ada zaidi ya milioni ili watoto wapewe homework niwe mwalimu wao?
Kwa nini hawawafundishi wanafunzi wakaelewa ndipo wawape hizo home work wakazifanye!?
Wazazi wengine hatuna hulka ya kufundisha na wengine ndio tuliishia la sababa.
Tunatafuta hela na kulipa ada ili walimu wawafundishe sio watuletee homework kuja kutupima ujinga wetu..!! Walimu fanyeni kazi yenu ya kufundisha msihamishe goli.
Mbona kwenye ada hatupunguziwi kwamba tumeshiriki kufundisha watoto hivyo tulipwe stahiki zetu!
Tunapenda wawe na homework lkn iwe kitu walichofundishwa darasani ...Sasa unakuta mtoto hajafundishwa .Matokeo yake tunalipa ada na kufanya kazi yenu ya ualimu...inaboa mno..saa ngapi tutafute hela na saa ngapi tufanye homework...wapeni watoto homework baada ya kuwafundisha...sio kila mtu ana kipaji Cha kufundisha....Mimi ni mkali natamani nifundishe aelewe...nyinyi mna skills na mmesomeaKatika experience ya jf hakuna uzi umenichekesha kama huu!! Nadhan because it's involve my career, I have 3 years experience in this industry lkn sijawah kukutana na malalamiko ya wazaz khs homework, basically huwa nahakikisha maswali yanatoka within their reach,,, Nita akikisha maswali yote yamefanywa though I don't mind kama amekosa maana hata wrong answer pia ni jibu kikubwa tu mtoto asumbue akili yake kutafuta solution ya jambo at the end of the day itamsaidia Mwanafunz mwenyew,,, kikubwa tu zisiwe too much to extent it become hectic,,, ila ukitaka kujua wazaz wako serious na elimu hebu usitoe homework hamna rangi utaacha kuona kumbe in other side wazaz wako bored namna hii!!!!
Na settlers farming ni ipi mkuu1.permanent farming
2.normadic farming
1. Permanent cultivation1.permanent farming
2.normadic farming
Hapo inabidi iwe "you were" na sio "you was"Aiseee you was in my head....ahsante kwa hii thread ...sijui nisemaje yaani...nasubiri tu kikao Cha wazazi niongee
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mtoto wangu Homework ya Kiswahili alikosa methali na nahau, mtoto akaulizwa nani kakusaidia akajibu baba... Mwalimu akamwambia babaako na wewe wote akili hamna....
Taarifa ikanifikia, nikaona isiwe tabu, kwakuwa ni class VII nimemhamisha mkoa yupo boarding na homework hainihusu tena.
HahahahahahahaahHapo inabidi iwe "you were" na sio "you was"
Sasa inabidi tuanze kuwafundisha humu humu ili msiaibike kwa watoto wenu.
Pole Yake. Kazi iendeleeKeshasema, la saba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].acha mkuu,sikuhizi tofauti za zamani,ukiwa na kijana mwanafunzi,lazma na ww uwe dent tu,huwez kwepa.Acha kabisa mkuu, binafsi pia inaniboa mnoo. Hapa dogo kaniletea maswali,nmejibu lakini kuna maswali mawili nmechemka.wajuzi wanisaidie please.
1.Farming involving permanent settlement is called...........
2.Farming with no permanent settlement is called.............
Nmemuambia akalale,namtafutia majibu atajaza alfajiri..nmejaribu ku Google lakini wapi
1.permanent farming
2.normadic farming
Hapana ni kiasi tu mkuuFeography we mmbad.