Hizi shule za English Medium zimetugeuza Wazazi kuwa Walimu?

Hizi shule za English Medium zimetugeuza Wazazi kuwa Walimu?

Halafu sijui kwanini wababa tunakuwa na kiherehere kusaidia watoto,sijui ni huruma yetu ya tumbo la uzazi?!!!
Nyie wamama mkiitupia h/w kwa jicho la udukuzi mna kataa katakata kumsaidia mtoto [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
🤣🤣🤣🤣si tunakuwa busy jikoni wakati huo jamani, kuhakikisha mnashiba na kuwa na afya njema ya mwili na akili ili muendelee kusaidiana home work.
 
Halafu sijui kwanini wababa tunakuwa na kiherehere kusaidia watoto,sijui ni huruma yetu ya tumbo la uzazi?!!!
Nyie wamama mkiitupia h/w kwa jicho la udukuzi mna kataa katakata kumsaidia mtoto [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Tatizo hatukubali kushindwa
 
Ni kuna siku nasolve homework ya maswali 60 siku nyingine 80. Nina watoto watatu mmoja Class 6, mwingine class 3 na mwingine KG 2. Huyo wa Class 6 huja na maswali 40 na Class 3 maswali 20 kwani wanaandaliwa kwa Class 7 na clasa 4 zenye mitihani ya taifa. Taabu tupu Baba narudishwa class kwa ulazima.
 
Nani Kakudanganya kayumba hawawezi kufikiri?
English medium ni kiingereza tu anaongeza sio maarifa, Kama mwanao ni kiazi English medium haiwezi kumfanya genius, Na Kama ni genius Hata akisoma kayumba atatamba tu.

Hebu tafakari, kuna mtoto A anasoma primary na secondary Kwa gharama ya mil 20+,na kuna mtoto B anasona kayumba primary, Kata secondary halafu wanakutana chuo kikuu wote wanagraduate degree ile ile.

Wakishagraduate wote wanakuwa jobless, yule aliyesoma akiwa anaenda Kwa school bus anajikalia zake Nyumbani Mara Kwa uncle, hawezi kujiongeza kwasababu amezoea kulishwa kila kitu, aliyesoma kayumba anajiongeza kwasababu ni mpambanaji tangu mwanzo.

Huo ndio uhalisia uliopo mtaani, sasa Nani mwenye akili hapo?
Na Kwa Mzazi mwenye akili kuliko kupeleka mwanao akajifunze kiingereza,kuchora na kuimba Kwa mamilioni huko English medium ni bora Kama unaona ana uwezo mzr ukampekeka kayumba ukamfungulia fixed account, hiyo pesa ya ada ukawa unamuwekea Kwa uaminifu, akifika chuo atakuwa Na mtaji mkubwa sana wa kujiajiri.
Ovyoooooooo sifa kubwa ya ma genius ni kutokuwa wazuri darasani
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]si tunakuwa busy jikoni wakati huo jamani, kuhakikisha mnashiba na kuwa na afya njema ya mwili na akili ili muendelee kusaidiana home work.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] hauna maana
 
Watoto kila siku wanarudi na homework mpya mzazi uwasaidie. Ukimuuliza anakuambia mwalimu hajamuelekeza akaelewa.

Sasa nalipia ada zaidi ya milioni ili watoto wapewe homework niwe mwalimu wao?
Kwa nini hawawafundishi wanafunzi wakaelewa ndipo wawape hizo home work wakazifanye!?

Wazazi wengine hatuna hulka ya kufundisha na wengine ndio tuliishia la sababa.

Tunatafuta hela na kulipa ada ili walimu wawafundishe sio watuletee homework kuja kutupima ujinga wetu..!! Walimu fanyeni kazi yenu ya kufundisha msihamishe goli.

Mbona kwenye ada hatupunguziwi kwamba tumeshiriki kufundisha watoto hivyo tulipwe stahiki zetu!
Tatizo ni wewe
 
1. Zero grazing 2. Non zero grazing
Hapa ndiyo maana sipendi elimu yetu kutolewa kwa lugha ya kingereza kwa sababu kila mtu anaye jidai msomi huja na jibu tofauti na mwenzake hivyo tuna zalisha makanjanja maana naona majibu kila mtu na lake
 
Masomo kama SOCIAL STUDIES ni magumu kweli kweli. Mtoto darasa la tano anapewa swali la homework utadhani ni A level- "Explain in details the benefits and challenges of Regional integration by siting examples in economic, social and other aspects "!! [emoji86][emoji86][emoji86]

Mimi mzazi, I am like...seriously? [emoji56].

Sijui elimu siku hizi ipoje?
Hapo vipi?
 
Nyie ndo wazazi mtoto atakuja kukuambia nimevunja photosynthesis ya shule tunadaiwa afu ulivyo boya unampa pesa kulipia fidia! Jitaidi ujue hata Yes and no!
Nini kuvunja photosynthesis ya shule watu tumevunja hadi greenwich time
 
Nzur kufundish watot wako jmn Nin bint angu mmoja asie nilikuwa natamani niingie darasani nishushe lecture amuone Bab akeanvyoshuka maswal darasan rah Sana najisikia rah San kumfundisha mwanagu
 
Watoto kila siku wanarudi na homework mpya mzazi uwasaidie. Ukimuuliza anakuambia mwalimu hajamuelekeza akaelewa.

Sasa nalipia ada zaidi ya milioni ili watoto wapewe homework niwe mwalimu wao?
Kwa nini hawawafundishi wanafunzi wakaelewa ndipo wawape hizo home work wakazifanye!?

Wazazi wengine hatuna hulka ya kufundisha na wengine ndio tuliishia la sababa.

Tunatafuta hela na kulipa ada ili walimu wawafundishe sio watuletee homework kuja kutupima ujinga wetu..!! Walimu fanyeni kazi yenu ya kufundisha msihamishe goli.

Mbona kwenye ada hatupunguziwi kwamba tumeshiriki kufundisha watoto hivyo tulipwe stahiki zetu!
Mi huo ujinga nilisha acha
 
Sisi wakati tuko primary in the 90's tulikua hatupewi homework kila siku especially below darasa la 5. Watoto waachwe wawe watoto kwa kupata muda wa kucheza na kujifunza kwa vitendo,sioni sababu ya homework za kila siku kwa watoto wadogo.
Homework zetu sisi ilikuwa ni kubeba fagio na kopo kila siku nenda rudi pasipo sababu za msingi kwanini mafagio na makopo yasibaki shuleni tu
 
Nzur kufundish watot wako jmn Nin bint angu mmoja asie nilikuwa natamani niingie darasani nishushe lecture amuone Bab akeanvyoshuka maswal darasan rah Sana najisikia rah San kumfundisha mwanagu
Hapo ndipo tunakosea!!! Ualimu ni taaluma. Kufundisha mtu ni taaluma kama ilivyo kutibu mtu. Ni makosa mtu asiyekuwa na taaluma ya kufundi kufundisha. Kuna miongozo ya jinsi ya kumfundisha mtu.

Kwa kawaida walimu hutoa Homework kwa wanafunzi si ili mzazi afundishe au ajibu bali asimamie mtoto ili afanye hiyo homework. Mwalimu hategemei mtoto apate 100% bali wakati mwalimu anasahihisha ile H/W ndipo hujua mapungufu aliyonayo mwanafunzi. Kwa kumfanyia hiyo H/W unakuwa umekosea sana kama mzazi.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] hauna maana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mgawanyo wa majukumu tu huo. Msikate tamaa ila ndio msiwalishe watoto wetu matango pori.
 
Niliwahi kumfanyia dogo homework akaenda akakosa yote
Hebu kila mtu afanye kazi yake wasee mi na stress zangu za pesa na kujipiga na nyundo kwenye vidole badala mwalimu ufanye kaz yako unaniongezea mzigo na mm tena?

Halafu akikosa akirudi nyumban anakusema umemkosesha [emoji23]
 
Back
Top Bottom