Hizi simu nzuri sana kuliko hata Tecno, zinauzwa kwa bei nafuum

Aliye toa Uzi huu ,nimgonjwa wa akili hazimtoshi, na akapimwe.

TECNO ni bei cheap sana tena saaana. Hakuna simu ya hakunasimu ya Iphone new full box ipo chini ya laki moja mathalan tukiichukulia Iphone4 new full box.
Naona wee mtoa uzi nimpigaji wa simu fake za hizo kapuni ndomana nakutana na watu anamiliki IPhone kopo tu ndani ni Android
 
Aiseee nmesema hizo ni sample. Au unataka nikuletee na simu zingine za bei ya chini?
 
Hao wauzaji ni kina nani? Jana kuna jamaa kaleta thread ya kaibiwa kwa kupenda kitonga cha kununua simu ya bei kubwa kwa bei inaitwa ya karibu na bure.

Screenshot zinaonesha ni AliExpress hao.
 
Nawaangalia Halafu Nasema Hii Bhaghoshaa!!😁
 
mimi nadhani Samsung waliniwekea kitu.sijawahi amini simu yoyote zaidi ya samsung
At least kuna makampuni ya kichina yanakuja juu kupambana na Samsung kwenye specs, design, cameras na price kama oppo, Huawei

Shida ya makampuni ya kichina hayana guarantee, unaweza kununua simu leo usipate updates milele au ukapata baada ya miaka mingi. Oppo find x ya mwaka jana bado iko na Android 9 wakati watu tunaenda android 11.

Samsung mimi pia waliniroga, disign, display, cameras, updates na kila kitu hasa hizi high end phones, acha kabisa.
 
We unazungumzia android 9 watu bado wanazo android 4.4.1
 
Kuna tecno sh 150000 yaani $64 hakuna kama tecno kwenye unafuu wa bei

Umeziona hizo simu. Ni cheap kuliko hiyo tecno unayoipigia promo. Tena kama hizo LG ni variant za 64GB. Halafu zina processor za qualcom.

Screenshot_20200603-093423.jpg
Screenshot_20200603-092823.jpg
Screenshot_20200603-093205.jpg
 
Najiuliza tu kama nimenunua us$100 mpaka inifikie kutakuwa kumeongezeka $?
 
Back
Top Bottom