Hizi simu nzuri sana kuliko hata Tecno, zinauzwa kwa bei nafuum

Kuliko kutuma hela kwa mtu nisiyemjua bora niagize mzigo mimi mwenyewe AliExpress auu KIKUU maana wako makini na hawana utapeli wa aina yeyote.

Hizo picha zote nmetoa Aliexpress...
 
Aliye toa Uzi huu ,nimgonjwa wa akili hazimtoshi, na akapimwe.

TECNO ni bei cheap sana tena saaana. Hakuna simu ya hakunasimu ya Iphone new full box ipo chini ya laki moja mathalan tukiichukulia Iphone4 new full box.
Naona wee mtoa uzi nimpigaji wa simu fake za hizo kapuni ndomana nakutana na watu anamiliki IPhone kopo tu ndani ni Android
 

Aiseee nmesema hizo ni sample. Au unataka nikuletee na simu zingine za bei ya chini?
 
Zinauzwa bei poa kwakuwa nyingi ni 3G na 4G wakati wenzetu wako 5G

Jr[emoji769]

Sisi wanunuzi(watumiaji) wa [emoji1241] hatujafika huku kwenye 5G na hatutarajii kuingia huko leo ama kesho.
 
Hao wauzaji ni kina nani? Jana kuna jamaa kaleta thread ya kaibiwa kwa kupenda kitonga cha kununua simu ya bei kubwa kwa bei inaitwa ya karibu na bure.

Screenshot zinaonesha ni AliExpress hao.
 
Nawaangalia Halafu Nasema Hii Bhaghoshaa!!😁
 
mimi nadhani Samsung waliniwekea kitu.sijawahi amini simu yoyote zaidi ya samsung
At least kuna makampuni ya kichina yanakuja juu kupambana na Samsung kwenye specs, design, cameras na price kama oppo, Huawei

Shida ya makampuni ya kichina hayana guarantee, unaweza kununua simu leo usipate updates milele au ukapata baada ya miaka mingi. Oppo find x ya mwaka jana bado iko na Android 9 wakati watu tunaenda android 11.

Samsung mimi pia waliniroga, disign, display, cameras, updates na kila kitu hasa hizi high end phones, acha kabisa.
 
We unazungumzia android 9 watu bado wanazo android 4.4.1
 
Najiuliza tu kama nimenunua us$100 mpaka inifikie kutakuwa kumeongezeka $?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…