Hizi simu nzuri sana kuliko hata Tecno, zinauzwa kwa bei nafuum

Hili ni povu +wivu, naamini mkuu utakuwa unatumia tecno, yani simu ni Iphone then ndani inatumia android [emoji336]? You must be joking. Hivi unajua tofauti kati ya IOS na Android? Au unajua maana ya OS(Operating System) in relation to hardware?
 
mimi nadhani Samsung waliniwekea kitu.sijawahi amini simu yoyote zaidi ya samsung
Mimi IPhone kuna kitu waliniwekea, mana si bure, pia kuna mtu alinipa pombe na mafuta ya nguruwe huku akitaja jina la tecno, yani nikisikia jina la tecno najisikia vibaya sana afu nadharau. Mtu anayejielewa hawezi tumia simu ya tecno labda beki tatu.
 
kuna kitu unekificha hapo kwa sisi wataalamu wa online shopping tumegundua! ni kwamba umficha shipping fees ambazo zinaweza kuwa kubwa kuliko bei za simu hasa ukitumia aliexpress kama unabisha niletee picha ya iPhone 6 iliyo chini ya laki nne ukijumlisha shipping fees
 
Zipo sana
Kumbuka hizo ni simu za mwaka 2013
 
Ushauri murua sana but kuna vitu muhimu hujaweka wazi.
1. Wengi hawafahamu hizi biashara za online
2. Hizo ni figure tu sio bei halisi ya bidhaa husika.
3. Vipi kuhusu shipping cost hasa hiki kipindi cha COVID-19
4. Mzigo umetua bongo hujaongelea wale jamaa wa kodi.
5. Hii ndio inawashinda wengi kusubiri simu/ mzigo more than 21 days.
6. Kupotea kwa parcel japo hutokea mara chache sana.
 
Man City wanazitangaza! Sasa sijui zinazokuja huku na zinazobaki kule ni tofauti
 
Man City wanazitangaza! Sasa sijui zinazokuja huku na zinazobaki kule ni tofauti

Man city kuzitangaza siyo shida. As far as wanaingiza pesa. Na kama zingekuwa ni simu nzuri basi ungeziona kwenye top 10 ya simu zinazouza sana Ulaya. Lakini hazipo. Wakati kampuni zingine za china kama Xiaomi zinauza Ulaya.
 
Wewe hizo bei bado haija fika bongo ni bei za huko iliko tengenezwa ilete bongo sasa
 
Sijawahi na sitakaa nifanye hiyo kitu maana niliyoshuhudia kwa jamaa aliagiza kitu mzee kikaja baada ya miezi kadhaa
acha woga dunia imeshakuwa kijiji hayo mambo yaliyomtokea mwenzako syo kila mtu humtokea
Binafs niliagiza simu kule aliexpress tena free shipping then ndan ya wiki tatu ikawa imeshanifikia huku mbwinde mabonden
 
Mkuu mimi nafanya sana online shopping,
Hizo simu ni refurbs, pili hizo simu sio global version ni EU version kwahiyo ni nzur kwa kweli lkn pendelea kununua simu global version kwa huku kwetu maana network yenyewe ni ya kuunga unga.
 
Kwanini msiingie AliExpress mkajionea wenyewe... Vitu pale ni vizuri sana.. kila kitu kinaandikwa.. shipping fees ipo wazi... Condition ya bidhaaa ipo wazi... DoM.. unaweza pia soma reviews kabla ya kununua..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…