PostGE2025 Hizi sio harakati ni agenda za kuvuruga nchi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
 
Ustaadhi ubwabwa wewe krimasi isposherehekewa inakuhusu nini, sio ndio utafurahi mfumo kristo na sikukuu zake kudorora. Hatutaki sikukuu sisi tuna misiba ya wenzetu.
Njoo tena tarehe 25 uchome mabasi uone kitakachokutoea.
 
Tangu lini Xmas ukaiita siku muhimu, mdini number moja wewe unayetamani Islamization of Tanzania
 
Tusikate tamaa tuendelee kuwaelimisha hawa watu huenda watatulewa siku moja
 
Mjuba Ritz mbona nchi iko shwari, hadi polisi wanashadidia nchi ni shwari. Unatetemeka nini wakati hao wanaharakati hawatafanya maandamano siku ya krismasi. Mtapelekeshwa puta na wanaharakati hata lini? Mbona wanaharakati wakipiga chafya kidogo tu mnawewesuka hivyo? Haya chezeni mdundo wao muingizwe kama mnashindwa kusoma alama za nyakati shughuli mnayo kwa hao wanaharakati
 
Hili la kuvuruga sherehe za kikristo muhuni anaweza kupanga siku hiyo ili kuona reaction ya wakristo ikoje kwa wanaharakati hao. Maandamano yatoke wapi siku hiyo kubwa kwa wakristo? Hata kama ingekuwa ni iddi ingeheshimika tu siku ipite kwa amani. Mjuba Ritz hujawahi kuona hata magaidi hupumzika sikukuu? labda kama hawana imani hiyo kama ulivyo wewe mwenye imani ya kikobazi. Tulia usiwachochee wanaharakati wafanye maandamano siku hiyo maalumu duniani
 
Njoo tena tarehe 25 uchome mabasi uone kitakachokutoea.
Basi mkae kwa kutuliza kalio mkisubiri kuua tena, milio mingi ya nini, mtoe na idadi ya 29 October wote mliowauwa
 
Nchi haivurugwi leo.

Ilishavurugika zamani na mmeivuruga wenyewe na lichama lenu la mambuzi.
 
Mmeua watu wengi kuliko waliouwawa na adui kwenye vita ya Kagera. CCM is a terrorist organisation, not a political party.
 
Kote huko wasingefika kama ingezingatiwa kitu kimoja tu ambacho ni REFORM.
 
Gentleman,
hakuna kusanyiko la kisiasa litakalokiuka sheria na katiba ya nchi litakaloruhusiwa kufanyika kwenye ardi ya Tanzania siku yoyote ile ikiwa ni pamoja na siku za sikukuu.

Huyo kiongozi wa mamluki wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi anaishi hapo nchi jirani akisaidiwa na TEC hatafanikiwa kuchochea hiyo nonsense humu nchini.

Kama waTanzania wazalendo tutalinda taifa letu kwa wivu mkubwa na magaidi wenye nia au mipango yoyote ile ya kuvuruga amani na kuharibu miundombinu ya umma na binafsi watasambaratishwa in second.

wajaribu waone.
 
Kwa nini inekuwa rahisi saana kuwafahamu vijana wote wa CCM kuwa ni vijana wajinga wajinga tu?
Kwetu raia wa kawaida nchi ilishavurugika,ila kwenu wateule na vyombo vya dola mko sawa.

Raia wa kawaida akikamatwa na kosa la barabarani,hakuna msamaha ni faini au utoe rushwa,akikamatwa askari wa aina yoyote akionyesha kitambulisho,anapeta.

Raia wa kawaida akipitisha gari yake njia ya mwendo kasi kosa,askari yeyote kikubwa awe na kitambulisho ruksa.
Na mengine mengi,nahitimisha kwa kusema nchi ilishavurugika tangia tulipoweka watu kwenye mafungu mawili
1. Wanaoishi juu ya sheria
2. Wanaotakiwa kutii sheria
Hapo pkirekebishwa sote tutapona bila shurti.
 
Mmeua watu wengi kuliko waliouwawa na adui kwenye vita ya Kagera. CCM is a terrorist organisation, not a political party.
Mmeua watu wengi kuliko waliouwawa na adui kwenye vita ya Kagera. CCM is a terrorist organisation, not a political party.
Wahalifu wanataka kupindua nchi mnataka wabembelezwe?
 
Acheni kuteka watu.
Mrudisheni Pole pole.
Ripoti ya marehemu mzee kibao itoke mseme mlipomzika mdude.
Msikimbie TATIZO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…