PostGE2025 Hizi sio harakati ni agenda za kuvuruga nchi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Tusikate tamaa tuendelee kuwaelimisha hawa watu huenda watatulewa siku moja
Pamoja sana mkuu kabla ya October 29 watu wengi walikaa kimya mzani ukaegemea upande mmoja sasa hivi watu binafsi na makundi ya watu wengi wamejitokeza sehemu mbalimbali kuelimisha watu na kukemea uhuni sasa at least mzani ume balance . Hata wasiokuwa hawaelewi wameanza kuelewa .

Tuendelee na mapambano bila kurudi nyuma
 
Sisi makafiri tumeamua kumrudia mnyaazi mungu na mtume wake mudi, hatutaki mambo ya kikafiri kama kusheherekea xmass, tunataka kuikomboa nchi
 
Watu wanapindua nchi kwa mikono na mawe? Au kupindua ishakua kama kesi za uhaini mlizorahishisha kama kesi za wizi wa kuku.
Mbona tena unapingana na kauli za
Mabwana zako walisema kuwa wataakikisha nchi haitawaliki.
 
Utakuwepo kwenye maandamano tarehe 25?
 
Tangu lini Xmas ukaiita siku muhimu, mdini number moja wewe unayetamani Islamization of Tanzania
Wamefeli kupindua nchi ile 29 Oktoba, wakafeli kuandamana ile 9 Disemba sasa wanataka kuvuruga sherehe za Krismasi.
 
Kwa nini inekuwa rahisi saana kuwafahamu vijana wote wa CCM kuwa ni vijana wajinga wajinga tu?
Wewe Punguani kweli unaandamana kweye geto lako Kimara na Tenco yako ingia mtaani uone.
 
Wanaotumia vurugu wakubali ukweli huu: taifa linaona kila kitu. Mbinu zenu hazishtui tena, na nia zenu hazijifichi. Ufahamu wa wananchi umeondoa nguvu ya uchokozi na kuufanya udhoofike hadharani.
 
Rudisha hela za NED .. Hii project imefeli mnnahangaika tu blah blah .. Yaani Watanzania waache kusheherekea Christmas wahangaike na upumbavu na upuuzi wenu.
 
Ni lini umeshawahi kuona CCM wameruhusu maandamano?sasa sababu wanajifanya vichwa ngumu tunapitia humohumo,na mwaka mpya tunafanya maandamano
Njia ya muongo fupi
 

Attachments

  • Screenshot_2025-11-16-13-25-57-307.jpg
    182.3 KB · Views: 13
Wanaotumia vurugu wakubali ukweli huu: taifa linaona kila kitu. Mbinu zenu hazishtui tena, na nia zenu hazijifichi. Ufahamu wa wananchi umeondoa nguvu ya uchokozi na kuufanya udhoofike hadharani.
Ukiwa na mtoto hanithi unamtafutia mke na unategemea azae. Hivyo ndiyo Tanzania ilivyo kwa sasa. Very very very backward. Kwa taarifa yako Somaliland inaweza kuwa ahead ya Tanzania kwa mambo mengi sana.
Terms of trade - negligible,- Tanzania ni tegemezi hakuna kitu.

Jionee huruma, kweli kabisa, na viongozi kama JK, Samia walivyoinajisi hii nchi ngoja mwe wa nne mwakani ndiyo utajua, uwe unasoma sana habari zinazoaminika siyo hizo za Lumumba.
 
Lakini kuteka, kutesa, kubambika kesi, kufira, kuua na kuvuruga uchaguzi siyo agenda za kuvuruga nchi?

Bora tuivuruge kisha tutaivurugua...

Upumbavu ni kipaji
 
Unadhani haya mavi yako uliyoyanya humu ndio yatavuruga fikra za ukombozi za Maria sarungi?,chawa sijui mna akili gani
 
Propaganda za kizamani! Na bado unaamini kuna watu wanaokotwa kwa propaganda za hivi?
 
Wewe Punguani kweli unaandamana kweye geto lako Kimara na Tenco yako ingia mtaani uone.
Kama na wewe ni ccm, basi ni mbwa mnywa damu za binadamu!

Siku yenu yaja kama si hapa basi mtakutana naye Muumbaji wa wote wenye miili
 
Mkuu, ni haki ya kikatiba mtanzania kushiriki maandamano. Kama watu wanataka kuandamana siku kuu haiwezi kuwa kigezo cha kuwafanya wasiandamane.
JPM hakuwa mjinga kupiga marufuku maandamano, mwafrika kazungukwa na fursa za kila aina lakini kichwani karuhusu uchochezi uwe na chumba cha kudumu akili yake haiwezi kufikiria mbali zaidi ya kuandamana.

Anayekudanganya ukaandamane keshazipigia mahesabu rasilimali nyingi zinazokuzunguka ambazo wewe huwezi kuziona kwa sababu unapelekeshwa kama gari bovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…